B'REAL
JF-Expert Member
- Oct 20, 2010
- 4,573
- 3,254
Ndugu wana body,habari za sahizi,na poleni kwa majukumu.nina issue nataka kijua sheria hapa ikoje!je unaweza kustaki kampuni?mfano umeomba kazi katika kampuni x,miaka kazaa ilio pita,ukakosa.ila miaka kaza unaona barua yako ya ajira ulioomba,inazagaa mitaani tena inafungiwa mandazi,je unaweza kustaki kampuni husika.naambatanisha picha japo sio yangu mod utanisaidia kuficha jina la muhusika na anuani!!nikatika kujifunza