Nani kakuambia JK alikuwa kiongozi bora.Hivi ni kweli Mbeya vijana walimpiga mawe JK? Ambaye kwasasa watu kibao wameanza kustukia kwamba alikua ni kiongozi bora.
Nani kakuambia JK alikuwa kiongozi bora.Hivi ni kweli Mbeya vijana walimpiga mawe JK? Ambaye kwasasa watu kibao wameanza kustukia kwamba alikua ni kiongozi bora.
Nani kashtukia Wakati ndo alomkata Lowasa kwa visasi vyao na sasa tunasomeshwa nambaHivi ni kweli Mbeya vijana walimpiga mawe JK? Ambaye kwasasa watu kibao wameanza kustukia kwamba alikua ni kiongozi bora.
Wapenda sherehe utawajua tu, au labda unalako jambo hapa zaidi ya kwenda mjini ili uhudhurie shereheWakuu
Amani iwe nanyi.
Nipende kutumia Fursa hii kuwapongeza wa Tanganyika wote wakati tunaelekea.kuadhimisha Miaka 54 (I stand to be corrected) tangia tumng'oe Mkoloni.
Napende kujua Mwaka huu Sherehe za uhuru zitafanyikia wapi ili nijitahidi kutoka huku kijijini kwetu Mtimbwani kwenda kuhudhuria Sherehe.
Naamini JF lazima taarifa zitakuwepo,Kisima cha Habari.
Natanguliza Shukrani
Ningekua wewe ningejiuliza mara 2 kwanini kaandika hayo alioandika kwenya mabano; watu wenye umri mkubwa kuliko wewe wa namna yao ya kufikiri. USIBISHE tu, kwani tokea umekua, uliwahi kusikia hizo sherehe linatajwa jina Tanganyika!? Hope your answer is NO, why hua wanasema Tanzania wakati hiyo Tanzania haikuwepo!? Ukipata jibu then utamwelewa mleta UZI kwanini hakusema miaka 55 badala yake kaweka 54!Kweli you need to be corrected....1961 to 2016 ni 55 years
HahahahaZinaweza kuahirishwa ili fedha itakayo okolewa ikanunue pikipiki za vijana Mbeya maana nao ni wabishi kama wa Arusha
Wajinga wa Uvcccm wanaisoma mpaka wamechanganyikiwa wanachangia mada bila kujua nini mada inasemaHizi ni stress ama ni kitu gani?
siku zote hizi sherehe huwa zinafanyikia Dar pale uwanja wa Uhuru (uwanja wa taifa)
mbona una komenti kama ugomvi!?Sio siku zote. Acha kupotosha. Wakati wa Mkspa zimefanyika mara mbili Dodoma(Jamhuri Stadium)
mbona una komenti kama ugomvi!?
Mnasheherekea nini wakati serikali tatu hamtakiWakuu
Amani iwe nanyi.
Nipende kutumia Fursa hii kuwapongeza wa Tanganyika wote wakati tunaelekea.kuadhimisha Miaka 54 (I stand to be corrected) tangia tumng'oe Mkoloni.
Napende kujua Mwaka huu Sherehe za uhuru zitafanyikia wapi ili nijitahidi kutoka huku kijijini kwetu Mtimbwani kwenda kuhudhuria Sherehe.
Naamini JF lazima taarifa zitakuwepo,Kisima cha Habari.
Natanguliza Shukrani
Tanzania imepata lini uhuru?Kwani Tanganyika bado ipo?
Tanzania haikuwahi kutawaliwaTanzania imepata lini uhuru?