Bramo
JF-Expert Member
- Oct 21, 2009
- 13,255
- 10,248
Wakuu
Amani iwe nanyi.
Nipende kutumia Fursa hii kuwapongeza wa Tanganyika wote wakati tunaelekea kuadhimisha Miaka 54 tangia tumng'oe Mkoloni.
Napende kujua Mwaka huu Sherehe za uhuru zitafanyikia wapi ili nijitahidi kutoka huku kijijini kwetu Mtimbwani kwenda kuhudhuria Sherehe.
Naamini JF lazima taarifa zitakuwepo.
Kisima cha Habari.
Natanguliza Shukrani