The Listener
JF-Expert Member
- Feb 5, 2012
- 993
- 213
Na wanaoipoteza nchi hii ni hawa hawa tuliowaamini na kuwapa taifa letu mikononi mwao watulindie dhidi ya maadui. Hawa ni UWT yaani usalama wa taifa. Hawa sasa hivi ni usalama wa ccm na wala si taifa. Yaani wanafanya kazi zao kwa manufaa ya viongozi na waka si taifa.Mbele vyama dhaifu vya wafanyakazi huku vikihujumiwa na UWT (Usalama Wa Taifa)....
Kila siku kelele zitendelea kuwa hizi hizi...
Full kupotea hii nchi