omari londo
JF-Expert Member
- Feb 18, 2015
- 1,793
- 1,774
Unalinganisha ANC na takatakaHahahaa...... Kuanzishwa siyo hoja tunaangalia lini ilitimiza malengo yake....... Mbwiga wahedi!
Hayo malengo ni yapi? Ulishawahi kufika hata huku A.kusini wewe uone dunia?