Rais wa Afrika Kusini Cyril Ramaphosa, Amesema Anasimama na Wapalestina. Akumbuka Ukandamizwaji na Ubaguzi Waliofnyiwa na Wazungu

ChoiceVariable

JF-Expert Member
May 23, 2017
43,076
49,785
Rais Cyril Ramaphosa wa South Africa ametangaza kuwaunga mkono Wapalestina huku alisema kwamba wanaadhibiwa Kwa kupigania Ardhi Yao ubaguzi kutoka Kwa Mabeberu wa Kiyahudi (occupation and apartheid).

View: https://twitter.com/GUnderground_TV/status/1713122214193602953?t=81DQRlrksg6TcULBcO5fbg&s=19

My Take
Nyerere angekuwepo Leo hii angesimama na Wapalestina maana aliyaishi madhala ya Ukoloni wa Wazungu hapa Afrika.

Mungu wabariki Wapalestina na wote wanaopinga dhuluma hii.

View: https://twitter.com/News24/status/1714182966228779231?t=VprFEJ4WuNgS8E5nIUFQYg&s=19
 
Mods msiwe mnaunganisha Uzi kienyeji kienyeji bila ridhaa ya Mwandishi.

Uzi huu usimame kama ulivyo ,unakumbushia machingu ya wakoloni ambayo Waafrika wamepitia na hivyo ni muhimu kusimama na Wapalestina.
 
Ramaphosa anafanya ivyo kwasababu ya historia

Hata mandela na Nyerere wangekuwepo hai wasingeweza tena kuwatetea hao magaidi

Kipindi cha harakati za ukombozi kilishapita

Wapelestina ni magaidi wanaojificha kwenye dini..

Wasouth africa hawawapendi waarabu na hushambulia misikiti iliyopo kwenye majiji makubwa
 
Sasa wewe ulitaka wafanye Kwa sababu zipi? Wewe unapenda Wapalestina wanavyoonewa? Waarabu wapi hao? Kila siku Huwa weusi wanafukizwa huko hao ni Waarabu?
 
Mods msiwe mnaunganisha Uzi kienyeji kienyeji bila ridhaa ya Mwandishi.

Uzi huu usimame kama ulivyo ,unakumbushia machingu ya wakoloni ambayo Waafrika wamepitia na hivyo ni muhimu kusimama na Wapalestina.
mavhungu gani ya mkoloni? mbona wamejanga university na secondari nyingi sana kupita hao watawla waliowafukuza.
 
Rais Cyril Ramaphosa wa South Africa ametangaza kuwaunga mkono Wapalestina huku alisema kwamba wanaadhibiwa Kwa kupigania Ardhi Yao ubaguzi kutoka Kwa Mabeberu wa Kiyahudi (occupation and apartheid).

View: https://twitter.com/GUnderground_TV/status/1713122214193602953?t=81DQRlrksg6TcULBcO5fbg&s=19

My Take
Nyerere angekuwepo Leo hii angesimama na Wapalestina maana aliyaishi madhala ya Ukoloni wa Wazungu hapa Afrika.

Mungu wabariki Wapalestina na wote wanaopinga dhuluma hii.

ANC inaongozwa na na wale marxissts, Leninism Na maoist waliokubuhu. ANC wana laana ya kuchukia wayahudi ndo maana nchi yao inarudi nyuma kiuchumi badala ya kwenda mbele. kiongozi asiyejua kujenga uchumi katika nchi yake lazima atawapenda wapalestina na yule ajuaye kujenga uchumi lazima atawachukia wapalestina. hii ni ile ahadi ya mungu kwa Abraham. Nitawabariki wote wakupendao na kuwachukia na kuwalaani wote wakuchukiao.mchunguza Qadafi na Gbabo wa Ivory cost ya 2002.
 
Ww ni mpumbavu Israel ilikuwa muungaji mkono mkubwa wa utawala wa kibaguzi wa S.Africa.
 
ANC inaongozwa na na wale marxissts, Leninism Na maoist waliokubuhu. ANC wana laana ya kuchukia wayahudi ndo maana nchi yao inarudi nyuma kiuchumi badala ya kwenda mbele. kiongozi asiyejua kujenga uchumi katika nchi yake lazima atawapenda wapalestina na yule ajuaye kujenga uchumi lazima atawachukia wapalestina. hii ni ile ahadi ya mungu kwa Abraham. Nitawabariki wote wakupendao na kuwachukia na kuwalaani wote wakuchukiao.mchunguza Qadafi na Gbabo wa Ivory cost ya 2002.
Ujinga mbaya sana et wayahudi wanabaraka hahahaha
 
Rais Cyril Ramaphosa wa South Africa ametangaza kuwaunga mkono Wapalestina huku alisema kwamba wanaadhibiwa Kwa kupigania Ardhi Yao ubaguzi kutoka Kwa Mabeberu wa Kiyahudi (occupation and apartheid).

View: https://twitter.com/GUnderground_TV/status/1713122214193602953?t=81DQRlrksg6TcULBcO5fbg&s=19

My Take
Nyerere angekuwepo Leo hii angesimama na Wapalestina maana aliyaishi madhala ya Ukoloni wa Wazungu hapa Afrika.

Mungu wabariki Wapalestina na wote wanaopinga dhuluma hii.

awapongeze Hamasi basi kwa surprise attack pale Israel.

Tatizo sio Palestine ni Hamasi
 
ANC inaongozwa na na wale marxissts, Leninism Na maoist waliokubuhu. ANC wana laana ya kuchukia wayahudi ndo maana nchi yao inarudi nyuma kiuchumi badala ya kwenda mbele. kiongozi asiyejua kujenga uchumi katika nchi yake lazima atawapenda wapalestina na yule ajuaye kujenga uchumi lazima atawachukia wapalestina. hii ni ile ahadi ya mungu kwa Abraham. Nitawabariki wote wakupendao na kuwachukia na kuwalaani wote wakuchukiao.mchunguza Qadafi na Gbabo wa Ivory cost ya 2002.
Takataka 🗑️🗑️
 
Ramaphosa anafanya ivyo kwasababu ya historia

Hata mandela na Nyerere wangekuwepo hai wasingeweza tena kuwatetea hao magaidi

Kipindi cha harakati za ukombozi kilishapita

Wapelestina ni magaidi wanaojificha kwenye dini..

Wasouth africa hawawapendi waarabu na hushambulia misikiti iliyopo kwenye majiji makubwa
Hao wayahudi Ashkenazi wanapingwa na wayahudi wenzao wote.

Jana Tel Aviv kulikuwa na maandamano makubwa ya kuwapinga kina Netanyahu:

View: https://youtube.com/shorts/Bgk4QWRIVFE?si=MhBwrcA89qIIFMGC
 
Back
Top Bottom