Sherehe za kuapishwa Rais wa Afrika Kusini mheshimiwa Ramaphosa

Akili yako ulikopeshwa
Hapo aliewakilisha Tanzania ni Mh Mstaafu Jakaya Kikwete maana anaheshimika barani Afrika na dunia kwa ujumla. Heshima hiyo ipo wazi kuombwa kwake kusuluhisha kuleta amani ktk Nchi tofautitofauti pindi itokeapo migogoro ya kisiasa ama ya kiuchumi. Team jiwe povu lote ruksa.
 
Eti hakukuwa na malalamiko .hivi hata English ya kuombea k unaijua
Kwanini channel 10 hawakuonesha live wakati yanatolewa matokeo ambayo yalikuwa transparent, kwenye giant screens all over the country ili watu wajifunze fair elections. Hakukuwa na malalamiko yoyote.
Au wanamuonyesha mtu fulani.
 
Hawajaingoa gharama yeyote coz wamechukua kutoka SABC. We jamaa mbona unajiparagua. Hakuna mtangazaji wa TBC alioenda huko SA Bali wamejiunga Tu bila gharama.
Airtime ya kurusha matangazo yasiyo na tija ya Afrika kusini ipo. Lakini ya kufuatilia mijadala ya Bunge hakuna.! Hovyo sana
 
Hapo aliewakilisha Tanzania ni Mh Mstaafu Jakaya Kikwete maana anaheshimika barani Afrika na dunia kwa ujumla. Heshima hiyo ipo wazi kuombwa kwake kusuluhisha kuleta amani ktk Nchi tofautitofauti pindi itokeapo migogoro ya kisiasa ama ya kiuchumi. Team jiwe povu lote ruksa.
Hahahaha kweli kabisa sababu hata wakipewa nafasi ya kusema neno fupi obviously JK atamfunika namba 1 tena kwa lugha ya malkia ila saaaasa nisije upande wa pili niishie hapo.....
 
Kikwete asante naona wewe ndio umetuwakilisha vyema huko hadi presidents ramaphosa anakupiga picha kwanza.

Asante mzee baba wewe ni mtu wa watu kweli nimekubali.
 
Hivi wakati JPM anaapishwa SABC walirusha live tukio ili kwao? Aaah mabeberu bhana
Wakati Mheshimiwa Raus Magufuli anaapishwa, wakiohudhuria in pamoja na Rais Kagame wa Rwanda, Rais Zuma wa Afrika Kusini, The Raila Odinga wa Kenya, Rais Joseph Kabila wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo. Hata hivyo sijaona kumbu kumbu kama SABC walitangaza live shughuli hiyo, subiri wataalaam wa mambo ya habari watakuja kutujuza.
 
Ilipata uhuru lini?......kwa usaidizi wa chama gani?

Huyo Mandela viatu vyake alivisahau wapi hapa Afrika?

You are an imbecile. Kwa hiyo umedanganywa kuwa ccm ndio iliosababisha uhuru wa SA? Ficha upumbavu wako; kwa taarifa yako South Africa walikuwa huru muda mrefu hata kabla ya TANU.
 
You are an imbecile. Kwa hiyo umedanganywa kuwa ccm ndio iliosababisha uhuru wa SA? Ficha upumbavu wako; kwa taarifa yako South Africa walikuwa huru muda mrefu hata kabla ya TANU.
Hahahaa...... Kwahiyo ANC walipigania wasichokijua kama wanavyofanya Chadema hapa Tanzania?!!!
 
Back
Top Bottom