Sherehe za CCM Kutimiza Miaka 33 Zafana - Reading, Uingereza

Mlitegemea kitu tofauti? Kwa vipi? Inawezekana vipi kupata matokeo tofauti wakati input ni ileile?
 
Matukio yalivyojiri katika picha...

attachment.php

Mhe Pius Msekwa akihutubia wageni na wanachama wa CCM Tawi la Uingereza.

attachment.php

Wageni waalikwa na wanachama wa CCM wakimkiliza kwa makini mgeni rasmi, Mhe Pius Msekwa.

attachment.php

Mgeni rasmi Mhe Pius Msekwa akitoa mkono wa pongezi na karibu kwenye Chama Cha Mapinduzi kwa baadhi ya Viongozi/ Wanachama wapya.

attachment.php

Mhe Pius Msekwa akikabithi vitendea kazi kwa viongozi wapya wa Mashina mapya ya CCM ya London East na South.

attachment.php

Mhe Msekwa akiwa kwenye picha ya pamoja na wanachama wapya wa CCM Tawi la Uingereza.

Wewe uliyebandika hii posti endelea na kazi yako ya IT siasa waachie wanasiasa utaumia ndugu yangu. Na ushauri kwa wale mlioko huko ughaibuni muendelee kazi zenu za kusafisha vibibi msitegemee kuwa mkiwa proactive katika politics mtapata access ya kuwa mafisadi bongo hilo halitawasadia bongo siasa zake ni za visasi na kuna royal family Tanzania mie na wewe tutaishia katikati,na vilevile watu hawataki kukosolewa ukiwakosoa tu kisasi kinaanza.

Adios!!!
 
yaani hizi picha zimenichefua kabisa,kichefuchu nahisi kutapika kabisa.yaani kuwa kwao nje kote bado hajakombolewa kifkra? tuwape pole watu hawa
 
Mkuu Mdondoaji,

Kwa bahati nzuri, mkongwe Charles de Gaulle alishasaidia watu kama mimi kwa ufafanuzi wa hofu ya aina yako. Nitamnukuu hapa..."I have come to the conclusion that politics is too serious a matter to be left to the politicians". ~Charles de Gaulle
 
yaani hizi picha zimenichefua kabisa,kichefuchu nahisi kutapika kabisa.yaani kuwa kwao nje kote bado hajakombolewa kifkra? tuwape pole watu hawa

Hebu tusaidiane mawazo kwenye hili Mkuu sababu mimi linaniumiza kichwa.

Hawa Watanzania walio nje; hawana shida ya maji, umeme, usafiri, n.k lakini kwa kuzingatia uhuru na busara zao wameamua kujiunga pamoja na kusheherekea kuzaliwa kwa CCM.

Watanzania wengi walioko Dar-es-salaam wana shida ya maji, umeme, usafiri n.k na wao pia kwa uhuru wao wameipigia 2005 wameipigia kura CCM katika viti vyote vya Ubunge.

Ni Watanzania wa upande gani wanastahili pole kati ya hawa?

Tusaidiane mawazo mkuu bila jazba.
 
-Labda hawa

Ni ngumu kuamini kwamba watu na akili zao wanaweza wakaa nje ya nchi na kushabikia sisiemu, wanacheka na kufurahia maisha, ni aibu! Au wanatafuta ubunge wa kuteuliwa baada ya uchaguzi?? Yaani kinachowavutia kuipenda sisiemu kiasi hicho nini hasa?

Mkuu upo sahihi kabisaa watanzania professionals (doctors, lawyers etc) Uk hawana time na CCM..Hapo ni watu ambao wanaishi kwa kuunga na ujanja wanataka dili tuu ndo wamejazana ili wajuane na viongozi..kuwasaidia kufungua kampuni feki bank accounts etc etc..saizi mwendo ni dili kwenda mbele
 
Kwanza, ni lazima tutambue kwamba kila mtu ana haki ya kuwa mwanachama wa chama chochote anachokitaka. Sina uhakika kwamba kila mtu ana haki ya KUTOKUWA mwanachama wa chama anachokitaka. Maana mpaka leo Tanzania haturuhusu mtu yeyote asiye muumini wa chama kugombea public office.

Ukiangalia hawa kaka na dada zetu walio "majuuu" wakiwa wanaimba pambio za CCM kuna mengi unaweza jiuliza na kufikiria kwa kina. Je ni kweli kwamba wanataka wawe part ya "system" kusudi waweze kuibadilisha wakiwa ndani? historia haitu-support kwa hili. Maana "we have seen many who entered politics with a goal of changing politics, but politics ended up changing them" NA HAWA NDO WENGI SANA.. Au hawa wanataka wawe karibu na wakulu kusudi waweze kuwa na access ya walio madarakani? Kwa uzoefu wangu hapa Tanzania uwezekano mkubwa ni kwamba wengi wa hao walio kwenye picha na Msekwa wanataka wawe karibu na wazee wa chama kusudi ....well...wapate opportunities.

Sasa hao ndugu zetu wa majuu nadhani ni vyema wakajua kwa nini watu wako dissapointed na wao (specifically kwenye hii thread). Ni kwa sababu "to whom much is given, much is expected". Wengi tungewategemea hawa kwa vile wameenda nje, wameona democrasia ya kweli inavyofanya kazi, watu wanavyoadhibiwa wakifuja madaraka/mali ya umma nk. Lakini hawa hawa leo wanarudi kubariki yale tunayopigana nayo usiku kucha. Sasa hebu twambieni nyinyi mlio huko nje mna msaada gani kwa wananchi wenzenu? (hata msaada wa mawazo naona haupo!).

Na jee mtashangaa kweli mnapoona wananchi wanapinga uraia wa nchi mbili? Maana tayari mnaonekana (katika macho ya wengi) kwamba you are just selfish. You are out of touch with common people. Why? kwa sababu tumewaona watuhumiwa kibao hapa ambao wametuibia billions and billions..wakija huko (kwa kodi zetu) wanavyopokelewa kama waheshimiwa ambao wamefanya mambo makubwa kwa wananchi).

In all, I dont fault anyone kuingia kwenye chama anachokitaka. Hata ingekuwa Chadema, CUF nk I would have said the same. Lakini kwa vile CCM ndo chama chenye DOLA..ndo maana macho ya wengi yako kwake. Tunategemea kuona watanzania walio huko nje (well not all of them are doing well, maana wengine wana njaa kali tuu kama huku dunia ya nne...anyway). Lakini wawe na ile minimum decency ya kuelewa kwa nini watanzania sasa increasingly tunaona kila mtu aliye karibu na CCM ni opportunist na fisadi. correctly or wrongly.

Masanja
 
Kuna la kujiuliza hapa, kwa nini haya yanatokea Uingereza na si kwingineko?
 
Matukio yalivyojiri katika picha...

attachment.php

Mhe Pius Msekwa akihutubia wageni na wanachama wa CCM Tawi la Uingereza.

attachment.php

Wageni waalikwa na wanachama wa CCM wakimkiliza kwa makini mgeni rasmi, Mhe Pius Msekwa.

attachment.php

Mgeni rasmi Mhe Pius Msekwa akitoa mkono wa pongezi na karibu kwenye Chama Cha Mapinduzi kwa baadhi ya Viongozi/ Wanachama wapya.

attachment.php

Mhe Pius Msekwa akikabithi vitendea kazi kwa viongozi wapya wa Mashina mapya ya CCM ya London East na South.

attachment.php

Mhe Msekwa akiwa kwenye picha ya pamoja na wanachama wapya wa CCM Tawi la Uingereza.

Post hii haisadii chochote, kitu gani cha msingi au cha kusaidia wana JF
 
Hebu tusaidiane mawazo kwenye hili Mkuu sababu mimi linaniumiza kichwa.

Hawa Watanzania walio nje; hawana shida ya maji, umeme, usafiri, n.k lakini kwa kuzingatia uhuru na busara zao wameamua kujiunga pamoja na kusheherekea kuzaliwa kwa CCM.

Watanzania wengi walioko Dar-es-salaam wana shida ya maji, umeme, usafiri n.k na wao pia kwa uhuru wao wameipigia 2005 wameipigia kura CCM katika viti vyote vya Ubunge.

Ni Watanzania wa upande gani wanastahili pole kati ya hawa?

Tusaidiane mawazo mkuu bila jazba.

Bwana Phares,majibu yako yanaonyesha kuwa ni mtu muungwana sana.Lakini uungwana wako unatiwa doa na hali halisi kwamba mtu mwenye akili zake timamu,AND i REALLY MEAN THAT,hawezi kupoteza muda wake kujiaibisha kama mnavyofanya wewe na hao wenzio wanaotafuta short cut ya umaarufu thru matawi ya CCM njeya nchi.

Nathamini haki zenu za kikatiba na kidemokrasia kujiunga na chama chochote cha siasa,lakini tungetarajia kwamba uwepo wenu huku nchi zilizoendelea kungewafungua macho na kutambua kwanini CCM ni chanzo na sehemu muhimu ya matatizo yanaikabili nchi yetu hivi leo.Na tusingesita kuwapongeza laiti mngetumia existence yenu ndani ya chama hicho cha kifisadi kuwafahamisha akina Msekwa kwamba wanaipelekea nchi pabaya.Unfortunately,mnaonekana mko bize zaidi na hivyo vyakula vinavyoambatana na "mikutano yenu" sambamba na photo opportunities kuliko kuwathamini Watanzania wenzenu wanaoteswa na chama hichohicho mnachokishabikia.

Shame on you,losers!
 
Walioko UK,ni matunda ya education system ya Tanzania,kushindwa kuanalyse,brainwashing uswahili na ufisadi ambao unavuka mipaka.Hata academically wengi ni poor,wangekuwa bongo wengi wangekuwa jobless!

Ni tofauti na wale wa State,wana Jumuia nzuri sana ,non-political .Ukienda Houston,Chicago,
Wichita ,Minnesota .
 
Kwanza, ni lazima tutambue kwamba kila mtu ana haki ya kuwa mwanachama wa chama chochote anachokitaka. Sina uhakika kwamba kila mtu ana haki ya KUTOKUWA mwanachama wa chama anachokitaka. Maana mpaka leo Tanzania haturuhusu mtu yeyote asiye muumini wa chama kugombea public office.

Ukiangalia hawa kaka na dada zetu walio "majuuu" wakiwa wanaimba pambio za CCM kuna mengi unaweza jiuliza na kufikiria kwa kina. Je ni kweli kwamba wanataka wawe part ya "system" kusudi waweze kuibadilisha wakiwa ndani? historia haitu-support kwa hili. Maana "we have seen many who entered politics with a goal of changing politics, but politics ended up changing them" NA HAWA NDO WENGI SANA.. Au hawa wanataka wawe karibu na wakulu kusudi waweze kuwa na access ya walio madarakani? Kwa uzoefu wangu hapa Tanzania uwezekano mkubwa ni kwamba wengi wa hao walio kwenye picha na Msekwa wanataka wawe karibu na wazee wa chama kusudi ....well...wapate opportunities.

Sasa hao ndugu zetu wa majuu nadhani ni vyema wakajua kwa nini watu wako dissapointed na wao (specifically kwenye hii thread). Ni kwa sababu "to whom much is given, much is expected". Wengi tungewategemea hawa kwa vile wameenda nje, wameona democrasia ya kweli inavyofanya kazi, watu wanavyoadhibiwa wakifuja madaraka/mali ya umma nk. Lakini hawa hawa leo wanarudi kubariki yale tunayopigana nayo usiku kucha. Sasa hebu twambieni nyinyi mlio huko nje mna msaada gani kwa wananchi wenzenu? (hata msaada wa mawazo naona haupo!).

Na jee mtashangaa kweli mnapoona wananchi wanapinga uraia wa nchi mbili? Maana tayari mnaonekana (katika macho ya wengi) kwamba you are just selfish. You are out of touch with common people. Why? kwa sababu tumewaona watuhumiwa kibao hapa ambao wametuibia billions and billions..wakija huko (kwa kodi zetu) wanavyopokelewa kama waheshimiwa ambao wamefanya mambo makubwa kwa wananchi).

In all, I dont fault anyone kuingia kwenye chama anachokitaka. Hata ingekuwa Chadema, CUF nk I would have said the same. Lakini kwa vile CCM ndo chama chenye DOLA..ndo maana macho ya wengi yako kwake. Tunategemea kuona watanzania walio huko nje (well not all of them are doing well, maana wengine wana njaa kali tuu kama huku dunia ya nne...anyway). Lakini wawe na ile minimum decency ya kuelewa kwa nini watanzania sasa increasingly tunaona kila mtu aliye karibu na CCM ni opportunist na fisadi. correctly or wrongly.

Masanja

Mkuu Masanja,

Nimekusoma kwa makini; umezungumzia Uhuru wa mtu na Mategemea kwa Watanzania walio nje.

Labda nikukumbushe kuwa huwezi kumpa mtu uhuru wa kujiamulia mambo yake halafu wakati huo huo utegemee kuwa maamuzi yake yatakuwa ni sawa na ya kwako. Watanzania walioko Uingereza sio wote ni wana CCM na haiwezekani wote wakawa wana CCM...ni muhimu tukubali kuwa wapo Watanzania watakao amua kwa hiari yao kuwa wana CCM popote pale walipo iwe Uingereza, Marekani au ndani vijijini Tanzania. Vile vile wapo Watanzania ambao Watakuwa wanachama wa vyama vya upinzani popote pale walipo...mfano mzuri ni Wana CUF.

Haya ndio mabadiliko ambayo Watanzania wengi tunataka, tatizo linakuja pale ambapo wengi tunasahau kuwa Mabadiliko ya jamii huwa hayana Fomula. Hivyo, kadri tunavyo tegemea mtiririko fulani wa Mabadiliko haya ndivyo tunavyoziki kuwa disapointed.
 
Wanasheherekea Ufisadi wao wa kutafuna fweza za walipa kodi. Aibu!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom