Chimbekeha
JF-Expert Member
- Dec 1, 2018
- 1,193
- 2,177
habari wana JF
Uswazi raha sana, hatupitwi na chochote huku,
Leo nimepita maeneo fulani hivi nikakuta watu shazi na bonge la sound la MZIKI ile nakuja kuuliza naambiwa Sherehe ya kihistoria ya BIBI na BABU wanaadhimisha miaka 50 Wakiwa katika ndoa,
Unaambiwa hawajawahi kupeana TALAKA hata moja..
PONGEZI KWAO.