sherehe ya wana JF

Hmmm..! hii ni hatari sana..! LABDA KUSIWEPO KUTAJA MAJINA YETU YA HUMU JAMVINI..?? manake kuna watu tunawaponda na wanahasiri na sisi. siku wakituona live ..ni NGUMI KWENDA MBELE!
Hapo kwenye nyekundu nimepakubali!
 
WanaJF mkikubaliana hili mnambie niwaandalie BBQ kwangu tuje tuburudike..
 
kha imekaa vibaya
Imekaaje vibaya mpendwa BADILI TABIA?

Watu tunakutana kama kawa tunapiga pombe na nyama choma. Tunaalikana kwenye mirusho na tunakutana kwenye kufarijiana kama tunanawa. Acha woga weye...

Kwa kuanzia mwana Chit Chat mwenye mahaba ya kuonana na ODM anyooshe mikono juu....
 
Last edited by a moderator:


Hommie Asprin, apo umekusudia wanachit chat wa jinsia ipi?
 
Last edited by a moderator:
Hommie Asprin, apo umekusudia wanachit chat wa jinsia ipi?
Hahahaha Kaizer bana.... najua wajua kuwa mimi wanijua kuwa najua unajua kuwa jinsia haina kikwazo japokuwa jinsia pinzani ina added advantage.:closed_2:
 
Last edited by a moderator:
Wazo zuri....tuingie kwa codes na sio majina wala usernames ...unapewa code number yako..unaingia nayo getini , unaichana ukiingia humo ndani..fulu kutojuana..unless ukitaka kujitambulisha kwa jirani yako

Hata kwa codes tutawafahamu wengine..mtu kama Asprin utamjua tu akianza kulewa, Kongosho ni jimama haina shida. Erotica tofauti kama mnavyomdhania ana sura kama vokswagen old model.Tutafute njia nyingine ya kukutana
 
Last edited by a moderator:
haya wewe unayejiona wa kitambo una mpya gani? kila mtu na mawazo yake bwana kama wewe hukuwa na wazo hili tangu milele hiyo uliyokuwepo humu acha wenzako wenye wazo hilo waseme...sio dhambi jamani, ni wazo tu...mbona watu mna jazba sana?


Wazo hili si la kwanza kwa taarifa yako. Tumeshakutana, tukaenda Mbuga za wanyama somewhere in Arusha, Dar tumekutana pia, na hata vikao tumekaa kimojawapo pale british council. Usijali mwaya, wee panga mikakati, how where we wil be there.
 
sasa kinachokufanya utoke povu ni nini? acha hizo bwana...kama mlishawahi kukutana kuna wasiwsi wa nini tena mara ooh huyu kajiunga leo na jf, huyu kajiunga kae=rne moja iliyopita...acha kubagua wenzako hata aliyejiunga dakika hii ana haki kama wewe ulijiunga humu karne iliyopita...hongera sana kwa kuwa na kitambo sana hapa jf...!
Wazo hili si la kwanza kwa taarifa yako. Tumeshakutana, tukaenda Mbuga za wanyama somewhere in Arusha, Dar tumekutana pia, na hata vikao tumekaa kimojawapo pale british council. Usijali mwaya, wee panga mikakati, how where we wil be there.
 
mdau.....kaa mkao wa kula....sisi kama sisi wana JF...(wote bila kubagua yeyote)....tunatarajia kuandaa tukio kubwa la kuburudika mwaka huu....(hebu PakaJimmy rushia link ya ile burudani ya Dec mwaka ule hapa)....when I say kubwa is kubwa kweli kweli....stay tuned....
 
Last edited by a moderator:
asante sana mkuu...
 
wakuu kwa hiyo mnaamuaje?
 
Watu wa humu wambeyaaa yaani sikukuu zote mnazofanyaga hamridhishi mpaka mkutane na wanaJF tu ndo mtaridhika. Haya subirini muone kama hamjakutana na mama zenu nao wako JF na huwaga mnawasarandiaga na avator zetu za mashamsham
hahahaha, ndio hivyo tena kila mtu atabaki kucheka!
 
Hmmm..! hii ni hatari sana..! LABDA KUSIWEPO KUTAJA MAJINA YETU YA HUMU JAMVINI..?? manake kuna watu tunawaponda na wanahasira na sisi. siku wakituona live ..ni NGUMI KWENDA MBELE!
hivi kuna watu wanachukulia siriaz ya humu kum-mind mtu hadi kufikiria ngumiz...???!! kama yupo s/he is stupidy!
 
We labda kuna mtu unamtafuta ili umtwange sio. Basi umechemsha kaka tafuta njia nyingine kumbuka hapa wote tumepevuka
uwoga wako tu,
hivi kuna watu wanachukulia siriaz ya humu kum-mind mtu hadi kufikiria ngumiz...???!! kama yupo s/he is stupidy!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…