Sherehe ya Uhuru.....

Bowbow

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2007
Messages
545
Points
0

Bowbow

JF-Expert Member
Joined Oct 20, 2007
545 0
Ndugu watanzania na wote wenye mapenzi mema

Jamii ya watanzania waishio Denmark inapenda kuwakaribisha kwenye sherehe ya 46 Ya Uhuru wa Tanzania itakayo fanyika siku ya tarehe 08.12.2007 siku ya Jumamosi katika ukumbi wa Vanløse Kulturhus Frode Jakobsens plads 4,1. 2720 Vanløse

Tunaomba watanzania wote waishio Denmark, Northern Ujerumani, Sweden na hata Norway na Netherlands washiriki kwenye party hiyo . Pamoja na mambo mengine kutakuwa na 3hours exhbition ya kuitangaza tanzania nakatika nyanja zote kuanzia saa 8 hadi 11 na nusu jioni.

Kutakuwa na chakula cha jioni ikifuatiwa na shows mbali mbali ikiwepo kanga show,traditional dances, Live perfomance kutoka kwa wasanii wa zamani waliokuwa wanaitwa tatu nane, Show ya watoto, Vijana(bongo Fleva)na kufuatiwa na Disco la nguvu kupitia kwa Dj Prince Anil the best DJ in CPH

Upatapo taarifa hizi mjulishe mtanzania mwenzio, Mkenya, Mganda na watu woooooote wenye mapenzi mema.

Come one, come all

for detail tembelea tovuti www.watanzania.dk
 

Forum statistics

Threads 1,365,698
Members 521,313
Posts 33,352,929
Top