Sherehe ya harusi: Hongera kamati ya harusi

Sherehe ya harusi: Hongera kamati ya harusi

Hivi hapo mnadhani mchango wa harusi ulikuwa shilling ngapi? muonavyo wenzangu?
 
Hivi hapo mnadhani mchango wa harusi ulikuwa shilling ngapi? muonavyo wenzangu?

Mkuu hapo sidhani kama inazidi bukubuku......ukizingatia ya kuwa vyakula vyote hivyo kijijini ni bwerere......Budget ya laki ni ya anasa sana......
 
Ila bibi harusi kapenda sana hata hivyo vibinti vimependeza vyenyewe na nguo zao za kipamaira
 
Mkuu hapo sidhani kama inazidi bukubuku......ukizingatia ya kuwa vyakula vyote hivyo kijijini ni bwerere......Budget ya laki ni ya anasa sana......

kama ni mimi ningewachangisha laki laki nawaambia ukumbi mkali mwisho wa siku mnakutana na hiiii....msijui mtadai michango yenu!
 
Wameonyesha kuwa ndoa ni zaidi ya kula na kunywa! Yaani bajeti nzima iliyotumika hapo ni sawa na Uchakavu wa Kikao Kimoja cha harusi kwa hapa Dar
 
duh hilo sufuria ni chakula gani hicho? wamependeza sana na nguo zao kwa kweli
 
Ukute kabinti kenyewe kametoka royal family, bugger na sausage za kutosha halafu ndo anakuja kuolewa kwenye primitive family kama hivi ptuuuuh wacha hayo mapenzi ya dhati tuyaangalie tu kwenye tamthiliya za kifilipino!

Watu wa ajabu sana, huyu wewe umezaliwa na kukulia Tandale kwa Mtogole halafu unaita familia za watu primitive familly, hebu fafanua pritive katika hivyo vyakula iko wapi, ukiangalia vizuri katika hizo picha unaona aina tofauti tofauti ya vyakula kwa hiyo mtu anachagua kulingana na anavyohitaji, wewe unasema burger na sausage ambazo hujawahi kugusa tofauti na kuziona kwenye picha tu. Halafu unaelewa kuwa burger na sausage za Tanzania au niseme za Afrika ni primitive food kwa burger za ulaya ?
 
Ukute kabinti kenyewe kametoka royal family, bugger na sausage za kutosha halafu ndo anakuja kuolewa kwenye primitive family kama hivi ptuuuuh wacha hayo mapenzi ya dhati tuyaangalie tu kwenye tamthiliya za kifilipino!

Na huyo binti wa Royal family na burger zao amepoteapoteaje njia na kujikuta kwenye 'primitive' family? Maana hapo ni kijijini kabisa na wala sio mjini tuseme wamekutania huko. Kwa maana hiyo hiyo harusi ni baina ya vijana wawili wanaoishi katika mazingira yanayofanana, kwa hiyo kwao hiyo ni asili na utamaduni wao. To them, that's the peak of their happiness. To hell with your cakes, burgers and sausages! To them, what is there defines their completeness. It's all that matters in their life.
 
Hivi haya mapenzi ya dhati siku hizi yanapatikana mkoa gani tukaoe na sisi!
 
Mbona Wachaga wanalishana Kisusio, ndafu na Mbege kwenye harusi? Au kwa sababu mazingira ya hapo ni hovyo?

Ni UJINGA kudharau mila za wenzenu. Nilishakwenda harusi ya Wanigeria. Kila kitu cha hali ya juu ila mwisho wakaleta Makongoro. Tena mengine hadi unaona vipande vya ngozi. Jamaa na suti zao nzito na magari ya fahari, waliyashambulia hayo Makongoro kwa dakika tano yakaisha. Ilikuwa kama vile walikuwa wanayasubiri.
Kwa furaha na mimi niliungana nao na wala hawakujali kama ninayafahamu au siyafahamu.

Ugali huo utakuwa wa ulezi au mtama. Hakuna chakula chenye afya kama hicho.

Sisi tukalie tu kula mavyakula ya Mchina au yaliyoisha muda wake kutoka Majuu.

Hospital za Kansa itabidi tuziongeze kwa hawa wanaojiita SI PRIMITIVE.
 
Back
Top Bottom