Sherehe ya harusi: Hongera kamati ya harusi

Sherehe ya harusi: Hongera kamati ya harusi

Naona sufuria ya ugali na nguo nyeupe.....mungu anaumba kwa mfano wake, tumtukuze
 
Dig them (it) out from within you!

kwa kuwa mapenzi ni baina ya mtu mke na mtu mume ikiwa nitajichimba mwenyewe kupata haya makitu na nikafanikiwa kuwa nayo si unaona hapo kinachofuatia ni kujioa mwenyewe?
 
Tatizo wengi wetu tunaangalia harusi kama sherehe kunufaisha watu na kusifiwa nao mwisho wa siku mtu anabaki na madeni na maisha magumu, cha msingi angalia uwezo wako na jinsi ya kuyakabili maisha mapya mnayoenda kuanza. Hiyo harusi ni poa sana watu wanaenzi tamaduni zao watu watabaki kuwacheka ila wao wako happy na wanaishi kwa amani na ndoa inadumu. Haina maana kufanya bonge la sherehe ya mamilioni ndoa inavunjika haina hata mwaka coz kila mmoja anajiona ni mbabe na mwenye uwezo zaid ya mwenzie
 
kwa kuwa mapenzi ni baina ya mtu mke na mtu mume ikiwa nitajichimba mwenyewe kupata haya makitu na nikafanikiwa kuwa nayo si unaona hapo kinachofuatia ni kujioa mwenyewe?

Maana yake ni kwamba, hayo mapenzi ya kweli unayotaka uyapate, wewe mwenyewe kwanza unayo? Mke/mpenzi atakayekupata, atayapata mapenzi ya kweli? Au ndio ile wewe ni mchepukaji ile mbaya ila unataka upate mke aliyetulia? ndiyo maana nasema kwa kila mtu hapa, kama kila mmoja akijenga kuwa na mapenzi mema, basi ndoa zenye mapenzi mema zitapatikana, vinginevyo, tutaendelea na mapenzi ya kubahatisha.
 
Jamani acheni dharau. Hapo ni kijijini, heri yeye amefanyiwa hivyo kuliko dada zetu wengine wanaobebwa mzobemzoe Siku ya Krismasi (halafu hujui nani anakuoa hadi uingie nyumbani kwa Bw harusi ndo unajua he, ni kwa kina Mashayo...)
 
Back
Top Bottom