Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 55,898
- 55,863
Wali wapi.....!!
Kila la kheri
Panapo majaaliwa Mungu akipenda tuanze mwaka kwa amani furaha na upendo..
Habari wana cc, nawatakia mwisho wa mwaka mzuri. Pia msherekee kwa amani mwaka mpya, nitakosekana kwa siku 2 tatu hapa jukwaani. Kwa kuwa naenda kuzisaka za kuanza kutumia 2014. Advice: dont drink and drive, even though you havent a car drive safely your body.
Na wewe pia, uje na nyingi bhana
Dah! poa bhana Mtoto halali na hela zikizidi utaniita nije kukusaidia au wasemaje?
Kazisake vizuri uje mapema tuzitumie kwa pa1,kizuri tule wote
usijali Ladymasa
Nasubiri muito.
kama unakuja njoo pande hizi.
Usijali ntakucall
poa nasubiri
wewe subiri hivyo hivyo baadae nakucal