cutelove
JF-Expert Member
- Oct 3, 2017
- 3,586
- 8,386
Natamani nijue sherehe za Mei mos katika mataifa mengine nilinganishe na mei mosi ya Tanzania
Kila sentensi ni kumsifu na kumuabudu Mama Samia na kauli za Mitano tena
Nikafikiri sherehe ni sehemu ya kusifia wafanyakazi wanavyofanya kazi kwa maendeleo ya Taifa na kuzungumzia changamoto za wafanyakazi badala yake ni kampeni
Kinachoendelea Singida ni Mei Mosi au Kampeni za uchaguzi?