Shemshi Hotel ya Mh. Mbunge kupigwa mnada

pilau

JF-Expert Member
Aug 16, 2012
1,593
443
Waungwana gari la benki ya CRDB limepita maeneo ya Gongo la Mboto jijini likitangaza kuuzwa kwa mnada hotel Maarufu jijini SHEMSHI iliyoko Mzambarauni jirani rani na Gongo la mboto, hoteli hiyo inamilikiwa na Mh. Dr. Henry Daffa Shekiffu ambaye ni mbunge machachari wa jimbo la Lushoto kupitia CCM, jamaa wanaotangaza wakiwa na madalali wanasema jumba hilo lenye ghorofa moja na ukumbi wa kisasa wa Disco na ukumbi wa sherehe vinauzwa kwa bei ya kutupwa tshs. 400m
 
Atakuwa alikopa pesa akafanyie campeni sasa zinamtokea puani

chadema walinunue wafunguwe tawi
 
Hivi minada ya benki huwa wantangaza bei?

mkuu nadhani bank walimpa 400m so benk wanasema wanauza 400m sasa ni kazi kwa matajiri kushindana kwanzia hapo kwenda juu,,we nenda na hiyo 400m kama ujakuta m2 kaja na 700m

nawasilisha
 
Du Bw Shakifu (Nheshimiwa) kweli MGOSI WA NDIMA umepatikana Siasa ndio zilivyo uza nyumba nyingine uikomboe hiyo Hotel ukalipe deni la watu (CRDB)
 
mkuu nadhani bank walimpa 400m so benk wanasema wanauza 400m sasa ni kazi kwa matajiri kushindana kwanzia hapo kwenda juu,,we nenda na hiyo 400m kama ujakuta m2 kaja na 700m

nawasilisha

hahahahahaha si mchezo, kweli mjini shule...
 
zemarcopolo asante kwa kuelewa,, mjini form 6 ukitaka kuona kufuru jitaidi kuudhuria mnada kama ujasikia 450m hapo mwingine 500m huku 650m kule papaa msofe 700m rizi1 850m,,,850m mara moja 850m mara 2, 850m mara 3 uza kwa rizi1
 
:flypig::flypig:Jengo ni la Mh. Shekiffu mbunge wa CCM Lushoto usiharibu TOPIC kama unetumwa umechelewa nenda CRDB Azikiwe Br. kuna taarifa zote
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom