Shadow7
JF-Expert Member
- Sep 28, 2020
- 33,953
- 56,085
Kikubwa inabidi waendane na mabadiliko ya hali ya nchiTuwasaidie hawa ndugu zetu,wanawatesa sana dada zetu,
Kikubwa inabidi waendane na mabadiliko ya hali ya nchiTuwasaidie hawa ndugu zetu,wanawatesa sana dada zetu,
Kuna shemeji yangu huko mmoja alichukua mchepuko akazama nae geto.Baada ya dakika 10 zikaanza kusikika sauti huko ndani za ugomvi 'utasema leo nani aliyekuambia mi na ukimwi' kumbe mchepuko ulikuwa unadai jamaa avae kinga jamaa hataki akaanza kumdunda yaani hadi aibuWadada wa kichaga wanajidai kukataa kuolewa na jamaa zao wanakwenda kuolewa na wakurya, wanayokutana nayo huko hamu hawana tena!
Yani Mwanaume anapata uhalali wa kufanya umalaya sababu hata baba yake mzazi Ndiyo aina ya maisha aloishi.
Mwanaume kuzaa nje kwa michepuko na kukuletea watoto chungu nzima ni kawaida kwao[emoji108][emoji108]
Mitala kama yote!
Mwanamke utabaki na sononi maana kila ukitafakali hupati jibu.
Kuna shemeji yangu huko mmoja alichukua mchepuko akazama nae geto.Baada ya dakika 10 zikaanza kusikika sauti huko ndani za ugomvi 'utasema leo nani aliyekuambia mi na ukimwi' kumbe mchepuko ulikuwa unadai jamaa avae kinga jamaa hataki akaanza kumdunda yaani hadi aibu