Shemeji yenu

Guasa Amboni

JF-Expert Member
Aug 13, 2015
8,055
2,000
Kijana unaiongopea mpaka dhakari yako......

Unakula tembele....mawazo kwenye nyama.....ukimaliza unachokonoa na stick....
Mzee mwenzangu tuwazoee huikumbuki hii waqt huo bitoz yupo na bint mzuri mara benz linakuja akajificha nyuma ya bint huku ananong'ona mother mother mother yule bint ikabidi amakinike kuitizama ile benz akapatwa na mshangao benz anaendesha mzungu ilibidi amuulize mama yako mzungu ? bitoz kwa kujibaraguza aah mother bwana anapenda sana kuwaazimisha watu magari mshua hapendi sana jambo hili .
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar threads

Top Bottom