Ameamua kujitangazia kuwa yeye ni mchafundani kwako wewe, unapolaza mwili wako. Husafishi mpk usikie mgeni?? Majanga
Cc: dronedrakeLeo utakwea mnazi kwa mkono mmoja mpaka ufike kileleni.
vita havijaisha bado, 😂tumeandaa mikakati mingine...mshamba_hachekwi nilikwambia hatuji tena ghetto. Ona hii
Nimesafisha geto vizuri limekuwa safi na hajatokea hadi mdaa huu...[emoji125][emoji125]ngoja niende zangu gym tu[emoji2484][emoji2484]
Kwani hii ni njemba? Naona mdada kaachia mchicha kwa avatarmshamba_hachekwi nilikwambia hatuji tena ghetto. Mwenzetu kawakilisha.
Huu ni usafi special zaidi mrembondani kwako wewe, unapolaza mwili wako. Husafishi mpk usikie mgeni?? Majanga