Shazili mnali
JF-Expert Member
- Mar 25, 2023
- 359
- 569
Upuuzi
Heeee nilijua ni njemba etiKwani hii ni njemba? Naona mdada kaachia mchicha kwa avatar
Thread imekaa kiume, labda ni jamaa kaweka picha ya dem wake....Heeee nilijua ni njemba eti
Itakuwa 😀Thread imekaa kiume, labda ni jamaa kaweka picha ya dem wake....
hahahahaLeo utakwea mnazi kwa mkono mmoja mpaka ufike kileleni.
Achana huyo alikiwa mchumia tumbo tu alitupofusha macho kwa ushawishi wake wenye hila
Kumekucha 🤣🤣Una nywele nzuri mwenyewe umebana mchicha.
Evelyn Salt