akikutibua bembeleza tu maana hakuna namna nyingine.........huyoo ni chaguo lako,,,,,chaguo lakooo hata kama ni kisiraniiiii.....ngoja nikameze yai bichi nirudi sauti imekata
Mi nilijua ukioa mwanamke uliye mpita umri mkubwa ndo anakuwa na upendo na utiifu kupita mmwanamke ambaye unalingana au kipishana kidogo. Kumbe wote pasua kichwa, inabidi Manual ya jinsi ya kuishi na mwanamke inabd ipatikane
Dawa moja, stop caring hivyo visiran vyake. Atajiweka sawa na kujirudi mwenyew.
Akinuna nuna hovyo, bila ishu ya msingi mind ur ishu fanya jambo lingine, weka movie, music,chukua kitabu soma. Kama ndo mchana, mwambie unatoka kidgo.