Shemeji yenu kisirani

Shemeji yenu kisirani

Zekidon

JF-Expert Member
Joined
May 29, 2013
Posts
1,903
Reaction score
569
Wakuu,

Huyu mama (shemej yenu) kwakweli kazidi kisirani. Kila siku mimi jukumu langu ni kumbembeleza tu na yeye la kwake ni kunitibua. Kifupi hapendi amani nachoka kubembeleza wakuu nakua nalea badala ya kua na mwenza au tatizo ni age difference maana nimemuacha 9 years?

Msaada
 
ha ha haha pole aisee kwa kuwa na kisirani.. tell her your grown up.. stop act like a baby you fool...... yawezekana ulimwambia unapenda demu anayedeka sasa wengine hawajui kudeka na kulalama ni tofauti.... zigo lako hilo beba muwe real
 
Dawa moja, stop caring hivyo visiran vyake. Atajiweka sawa na kujirudi mwenyew.
Akinuna nuna hovyo, bila ishu ya msingi mind ur ishu fanya jambo lingine, weka movie, music,chukua kitabu soma. Kama ndo mchana, mwambie unatoka kidgo.
 
ngoja apate wa kumbembeleza huko nje by the way hebu mzoeeee halafu jaribu kum ignore siku moja umuone
 
Sasa usipombembeleza weww unataka abembelezwe na nani?????


Zekidon
 
Last edited by a moderator:
Kisirani kakianza lini? Au kipo tangu Mwanzo. Hiyo tofauti ya umri ipo vipi maana kama ni miaka 39 kwa 30 nyote ni watu wazima. Jitahidini umbembeleza zaidi ya unavyombembeleza sasa ili "Ahisi kubembelezwa ni jambo la kawaida".
 
Zekidon

kama ulimdekeza tangu mnaanza mapenzi ataachaje kudeka sasa hivi,inategemea na mapenzi tangu mwanzo na wala sio umri,hata angekuwa kakuzidi angedeka tu as long as msingi wa mapenzi yenu mliuweka hivyoo.
 
Last edited by a moderator:
Mbona age diferensi ndogo sana mkuu, kuna mtu alioa mtoto wa miaka 6 huku yeye akiwa na miaka 58 na wakaishi vizuri sembuse wewe, komaa nae mkuu
 
Wakuu,

Huyu mama (shemej yenu) kwakweli kazidi kisirani. Kila siku mimi jukumu langu ni kumbembeleza tu na yeye la kwake ni kunitibua. Kifupi hapendi amani nachoka kubembeleza wakuu nakua nalea badala ya kua na mwenza au tatizo ni age difference maana nimemuacha 9 years?

Msaada

Pitia nilipopigia mstari.
Hilo nalo tatizo
 
Mbembeleze , wewe hujui wanawake wanahitaji kubembelezwa, usipombembeleza wewe una taka abembelezwe na Nani hayo ndio mapenzi.

Unataka kuishi na mwanamke kama mpo kwenye kambi ya jeshi amri na usiriaz kila wakati.
 
Back
Top Bottom