Shemeji yangu jamani

Shemeji yangu jamani

Afu weh mkuu majuz si ulifanya tukio na ex wako?inaonesha ni jins gan roho ya uzinz ilivyokuvaa, kaombewe jaman,ufunguliwe huko ulipo!
 
Mkuu una yako...

nimeamua nikupuuze

sawa kaka hamna shida...nilichokuwa najaribu ni kukuonyesha kweli,nawe umeamua kuipuuzia kweli,lakini kweli ndio njia na uzima,hivyo umeamua kuipuuzia njia ielekeao ktk uzima....wala hujanipuuzia mimi
 
Weka picha ya hiyo ch.upi nyeupe ilivyokua inaonekana@tangopori na @ nyamatarekwetu wanataka uthibitisho.
 
Kuna mabaamedi kibao wana shepu na wazuri kama Uwoya. Kama huo ndo udhaifu wako basi hangaika na hao ili utunze heshima ya mkeo...
 
Hebu mdau alete part two ya hii story inawezekana kilichofuata ni fumanizi huko club au nyumbani. Kama mke wetu hakuliwa basi shemeji kaliwa. Na kama mke wetu kaliwa na kaka yetu nae kaliwa.
 
Nikutakie uwehu mwema dude!
Kwa sequency hiyo nimwombe Mungu akujaalie mabint wawili ili mmoja aje kuolewa na mkweo huku mwingine awe shemeji mtu kisha mkweo atembee na bint yako mdogo na kila binti ajaaliwe watoto wawili (wajukuu zako) ili hii laana iendelee kwenye vizazi vyako vyote....ptuuuuuuuuuuuuuh!

Kweli kabisa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom