kama mimi huyo napigia humo humo kwenye gari......
im watching u mentor
mi pia ni mjumbe wa bunge la katiba ndugu yangu hivo nimebanwa na majukumu nikipata upenyo
ndo hivi nakuja kuchungulia kidogo....
bunge la katiba unawakilisha watu wako wa kule jimbo la chini kabisa?:smile-big::smile-big::smile-big:
ha ha ha team mafisi...
mkuu hebu kazia kazia hapa kwanza...!
mi sio bazazi lakini eenh!
ha ha ha team mafisi...
Usiniambie jukwaa la bondeni ndio linaitwa team mafisi
kwahiyo na nyinyi mnataka rekebisho lipi kwenye katiba mpya?
sina ujasiri wa kusema hapa...
Nyie mnao quote stor nzima mnaboa!
Duh haya kumbe ndo maana uko busy!!!
maana wale watu wako wa kule chini wanapenda sana haki zao aisee sasa ina maana kule hufiki kabisa kwa siku ya leo?
Nilikuona jana kwa mbaaali
mmh mtumishi jameni!!!
unamchunga sana mwanakondoo wako....