Shemeji yangu jamani

Shemeji yangu jamani

manuu hii naona kama ndoto kama uliyoiota. Hadi sasa haujaendelea
 
Last edited by a moderator:
Ebu fikiria uwoya jamani alafu anasubiri sana kwa aka katot ka six. Alafu chuchu saa sita wewe mpka ao wainjilisti kimya wanasubiri part2 ma wape ladha
Part 2njo utamu kolea teh teh teh.
 
Nimesikia wajumbe wa bunge la katiba mnataka ipad..

tafadhali usijeipata ukaanza kuangalia swaga za watu wako wa kule chini mjengoni ukapoteza confidence!!!

mi hiyo ni kama msosi asee siwezi acha kucheki mtumishi
sijui ne pepo???
 
Mentor sijui kwa nini nimepita hapa mida ya Lunch, wana wananisubiria nje kwenye parking tukale mimi nimetulia kwenye kiti changu ofisini nasubiria dushelele litulie Limetuna mbayaaaaa bro

mkuu MBaVu zangu hahahahahahahahahaha
 
Last edited by a moderator:
Kweli kaa ndo shemji siku hizi ndi hivyo itabidi ifike kipndi na wake wao wawe makin mpaka anaruhusu umepeleke club alikuwa anafikiria nn au walikuwa amepanga wote
 
Basi mi kuona ametabasamu nikashika tena zile chuchu akasogea nyuma kimtindo akatabasam huku akininyooshea kidole kwamba wewe shaur ako.........Nikaelekea sitting huko nikiwa na mawazo mengi sana kichwan kwamba shem amefuraia ama..
haha hha aaa,dah hi kali!! ila naanza kuhisi wife atakuwa ashastukia dili! watch out!
 
Yaani stori inaweza kuwa predicted nahisi mleta mada ni mwanachama wa #teammafisi , si- eti Evelyn Salt!!

Lazima jamaa atakutana na majaribu live, kagegeda halafu shida ina muandama!

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
naona sasa nachafuliwa combat langu eenh!

nimesomea mbinu zaidi ya 500 za kuua mbele za watu wakiwa wankodoa macho bila kushtukiwa!

sasa...........


Mtu mzima huwa sitishiwi nyau.. Cc; mwallu
 
Last edited by a moderator:
Nawaswas na mkeo huku nyuma usikute kuna mtu nae kaja kujilia dinner ....uwah kurud!!!

Uko sahihi kabisa! wife wake alikuwa anamfukuza home kijanja ili nay eye spate nafasi ya kupiga heart trick!
 
Uko sahihi kabisa! wife wake alikuwa anamfukuza home kijanja ili nay eye spate nafasi ya kupiga heart trick!
umeonaee tatizo ndugu yangu manuu anafikiria tu pale anapopaona bila kutazama kule asipopaona ila nadhan kwa sasa atatoa nafas ubongo wake kufikir kidogo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom