SEMBE WA LUSANGA
Member
- Apr 6, 2012
- 97
- 34
Kwa vile anakupigia magoti ndio umeona anakupenda?
Maana naona umesema mara kadhaa kuhusu kupiga magoti.
Kama that's a turn on kwako si umwambie mke wako nae apige?
he has a kneeling fetish lolKwa vile anakupigia magoti ndio umeona anakupenda?
Maana naona umesema mara kadhaa kuhusu kupiga magoti.
Kama that's a turn on kwako si umwambie mke wako nae apige?
Mimi naishi na mke wangu na tumejaaliwa kupata watoto wawili. Shemeji yangu baada yakumaliza shule, kaja kuishi nasi nyumbani kwangu, nimemtafutia chuo na anasoma nakurudi nyumbani, lakini maisha yake yamenifanya nizidishe upendo kwake. Kwakuwa mke wangu nimfanyakazi huwa sanyingine anaondoka mapema nakuniacha mimi, mimi ni mfanyabiashara na huwa nasafiri maramojamoja mikoani hivyo nirudipo nyumbani toka mikoani nabaada ya kusambaza biashara zangu, muda mwingi huwa nachelewa kutoka nyumbani na saanyingine nakuwepo tu nyumbani kwaajili yakupumzika jioni ndo huwa natoka. Sasa shemeji yangu huwa ananisalimia kwakupiga magoti mpaka chini na kama hiyo haitoshi hunipelekea sabuni na mswaki aliouwekea dawa ya mswaki, kama hiyo haitoshi hurudi tena nakuniita kwa sauti ya upole, shemeji nenda kaoge tena akiwa amepiga magoti! Baada yakutoka kuoga nikiingia chumbani nakuta kitanda kimetandikwa kwa umaridadi na ameniandalia nguo ambazo nitavaa iwapo kama nitatoka, nakuta chai imeshatengwa mezani nakaribishwa kwakupigiwa magoti. Nanawishwa mikono kwa maji ya moto, chakula kinaombewa halafu nakaribishwa kwa sauti nzuri, yaani mmh! shemeji huyu tabia yake inanifanya nampenda zaidi ya sana kwakweli. Mbaya zaidi ni mrembo navutiwa nae hadi napitiliza, kwani ananionyesha upendo ambao hata mke wangu huwa hanionyeshi na sijawahi kuupata. Nampenda sana shemeji yangu, ila tu najilinda nisifanye dhambi ya kumtamani naku do nae!
Mmmh... Kumbe kupiga magoti dili...!!
Ngoja nami nikazane kupiga magoti... Lol
Mambo mengie watu wanaandika kwa lugha ya kuficha coz JF is not rated.I was too skeptical about that!...
he has a kneeling fetish lol
Hapo sasa! Kama ni hayo tuu mbona easy to copy? Ingekua kavutiwa na trait of characterHivyo vitu anavyokufanyia shemeji yako mpaka unahisi anakutega kwani mkeo hawezi au hajawahi kukufanyia? Na kwa nini usimwambie mkeo akufanyie same same ili usiendelee kutegeka kwa shemeji yako? Kwa sababu kama utaendelea kuruhusu kutegeka na kutegeka nadhani mwishowe utajikuta umekuwa tempted to touch!!!!!!!!!!!!!
SnowBall nafikiri we are too old kwa mambo kama hayaMay be i am out of this world..coz sijaelewa ulitaka kusemaje hapa?...yaani hizo ADABU za shemejio tu tayari mate yashakutoka? (i smell something fishy japo hujaweka kiuwazi!!)..duh!....Ujue hata sisi wanaume nadhani tufike wakati tuwe na KABA...yaani tuwe tunajali 'HISIA' za wenzi wetu (wake zetu) na tukumbuke hatuwezi kupata kila kitu jamani..Ujumbe wangu RIDHIKA na mkeo na muache shemejio salama ....
SnowBall nafikiri we are too old kwa mambo kama haya
May be tuko sayari tofauti
Maana sijaona ambacho kimemfanya mpaka amuone shemeji yake anamtega
kupigiwa magoti
na huyo mke ambaye anamuacha mdofo wake kuingia kwenye chumba chao na kutandika kitanda ni wa wapi na anaacha hata kumuandalia mumewe chai na chakula anampa hilo jukumu mdogo wake
Ni kweli kabisa bro...unajua wakati mwingine hainingii akilini kumtamani ndugu wa mkeo simply kwa sababu anaishi kwako...mambo mengine tunayaendekeza sana...na tunatafuta vijisababu vya kihuni tu kujustify like 'ananipigia magoti'..damn!...what the hell with kneeling!!!..how on earth kneeling has got something to do with intimacy??...ufuska tu!!