Shemeji yangu ananilaumu sana kwenda kwake na Mchepuko Wangu

Ila wewe una hekaheka jamani!!Mara umewabeba,mara umedeki matapishi,Mara umekimbia buchani kununua nyama,Mara umeondoka Mara dukani hakukaliki umerudi kuwaangalia!Duhhh😂😂😂😂😂😂
 
Aisee walokole wanashida sana mwambie huyo NYANYANTOLE mungu hawezi kukuchoma kisa umesex uwezo wako tu wa kutafuna ukipata we kula hata 100 kama Selemani wa biblia ukiweza kunywa pombe kunywa ili mradi usiudhi watu katika biblia kuna mtu anaitwa Nuhu alikuwa mlevi sana anapiga pombe mpk anakaa uchi kuna mwingine anaitwa Lutu huyu jamaa Angekuwa sasa hivi Angekuwa sasa angefungwa huyu alilala na watoto wake wawili mabinti zake wote aliwala na kuna huyo Ibrahim alitafuna beki tatu lakini hakuna mtu anaesema hizi stori tukifanya sisi nongwa
Aisee iyo story ya lutu sijawai ielewa kabisa,
Hivi mungu alimpa adhabu gani kwa kosa Lile la kulala na binti zake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
majaribu ni mtaji na mtaji ni kuchakata,

binadamu hakuumbwa na nguo,yupo sahihi

basi ungempitishia hata shoti ya kidole,yaan shaaaaaaa kutoka chini kupanda juu.

Somo:ukiwa na pesa/vijipesa mbususu muda ote inakuwa mshikaji wako.YES
 
Aisee iyo story ya lutu sijawai ielewa kabisa,
Hivi mungu alimpa adhabu gani kwa kosa Lile la kulala na binti zake

Sent using Jamii Forums mobile app
Alimsamehe tu ili aendeleze kizazi mungu hawezi kukuchoma moto kisa unasex ni sawa na unafuga kuku unamuona jogoo moja anatembea na kuku jike 10 hapo si utamsifia yule jogoo hivyo ukiweza kuwapata wanawake wengi we piga tu ili mradi uweze kuwahudumia au ukatongoza mwanamke akakubali mwenyewe wee piga hakuna kuzini hapo si amekubali mwenyewe
 
Shukran

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mke wako anakazi ya ziada

kutwa kucha upo kwa mchepuko,, muda wa kuwa na mke wako ni upi?? na watoto je?

au ndo yale maisha ya ilimradi siku hazigandi
 
Back
Top Bottom