Shemeji yangu ana roho mbaya anataka Mimi nirudi kijijini

Una umri gani baba Morgan? Yaani dada anakupa lotion yake unapaka, unavaa nguo za sehemji unapendeza kuliko shemeji? Na kupendeza ukaanza kupendeza, hongera sana
Miaka 29 mwezi wa kumi naanza safari yangu ya thirties
 
Watanzania wote wangekuwa wamelog in JF basi matatizo yote na changamoto zote za kijamii zingekwishaaa.

Kwanini nasema haya?
Kwasababu hum ndiko kumekuwa kichaka cha ID nyingi kuleta malalamiko ambayo wasababishaji huenda wana la kujifunza lkn ndio kwanza wako , bize na udaku wa Insta na kupost picha Fb.

Ach tuone usikute huyo shemej yako ni moderator wa Jf na akitoka Ofisin lazma akuPM na ID feki ya mdada, kwajinsi ulivyo lijinga utajaa kwaID hiyo na huo ndio utakuwa mwanzo na mwsho wako humu, baada ya miez 5mbelen zitaibuka Threada nyingi kukuulizia kama bado umzima mana utakuwa kimya baada ya huu uzi wako.

Ogopa sana mitandao, mtu unayemtusi humu huend ndiye baba yako ama mwenyenyumba wako, kikubwa tuheshimiane wajameni
 
Shemeji mwenyewe kapigwa tafu na dada alikuwa choka mbaya saa hivi kapata kakitambi anaanza kunikazia na chanzo kikubwa ni Mimi kuanza kushine na kusifiwa na wateja wake
Hujaweza kujisimamia?
 
Shemeji mwenyewe kapigwa tafu na dada alikuwa choka mbaya saa hivi kapata kakitambi anaanza kunikazia na chanzo kikubwa ni Mimi kuanza kushine na kusifiwa na wateja wake
Kwa kifupi wewe na shemeji yako tukirudi nyuma kwa nini yeye amepata kakitambi na wewe kushine, kupendeza na kunenepa ni kwa sababu ya pesa za dada yako.

Wewe na shemeji yako ni wanaume wa ovyo mnatunzwa na mwanamke halafu mnatambiana.

Na wewe ondoka hapo kwa dada yako katafute maisha yako
 
Watanzania wote wangekuwa wamelog in JF basi matatizo yote na changamoto zote za kijamii zingekwishaaa.

Kwanini nasema haya?
Kwasababu hum ndiko kumekuwa kichaka cha ID nyingi kuleta malalamiko ambayo wasababishaji huenda wana la kujifunza lkn ndio kwanza wako , bize na udaku wa Insta na kupost picha Fb.

Ach tuone usikute huyo shemej yako ni moderator wa Jf na akitoka Ofisin lazma akuPM na ID feki ya mdada, kwajinsi ulivyo lijinga utajaa kwaID hiyo na huo ndio utakuwa mwanzo na mwsho wako humu, baada ya miez 5mbelen zitaibuka Threada nyingi kukuulizia kama bado umzima mana utakuwa kimya baada ya huu uzi wako.

Ogopa sana mitandao, mtu unayemtusi humu huend ndiye baba yako ama mwenyenyumba wako, kikubwa tuheshimiane wajameni
Kuna big difference between kumtukana mtu na kuongea facts kilichonikwaza ni kunitoa kijijini Kwa lengo la kunisaidia afu ndani ya miezi michache wanataka nirudi kijijini afadhali ningekuwa naenda kufanya kazi ila naenda kupambana from scratch wakati nilikuwa nishapiga steps kidogo. Walichonifanyia ni kunirudisha steps kumi nyuma wakati mwenyewe nilikuwa nishapiga hatua. Nilikuwa naweza kuingiza elfu Tano kama excess nikiwa tayari nimekula bila hata ya kuumiza mwili wangu leo hii unarudisha kijijini kizembe bro trust me even you usingekubali
 
Daa mwanangu usikubali ..kazaa apo apo ..Yani usiku shemeji amkaze dada alafu asubuhi akufukuze?!😂😂😂 Kazaa mzazi uchungu unaopitia Yani dada analiwa hivi hivi na wewe unafukuzwa daa maumivu uku na uku 😂😂😂🤣🤣
 
Daa mwanangu usikubali ..kazaa apo apo ..Yani usiku shemeji amkaze dada alafu asubuhi akufukuze?! Kazaa mzazi uchungu unaopitia Yani dada analiwa hivi hivi na wewe unafukuzwa daa maumivu uku na uku
Kwani mtoto wa kike kuliwa ni agenda. Grow up mkuu
 
Mimi BabaMorgan mwaka huu kidogo mambo yangu hayakuniendea vizuri hususani kipindi cha katikati ya mwaka(mwezi wa 6 & 7) kitu kilichopelekea kutoka sehemu niliyokuwapo nakuanza kusafiri bila ya kujua naelekea wapi na nilishawahi kupandisha Uzi humu jukwaani kutaka msaada maana nilihisi kuwa naanza kuundergo mental illness. Zile safari zangu za kutojua naelekea wapi tamati yake ilikuwa huko Namtumbo wilayani Ruvuma nilifika nikiwa hoi kifedha, kiakili na hata kimwili Kwa kujikongoja nilianzisha biashara ya bango la umachinga nikawa najikongoja mdogo mdogo.

Baada ya Dada yangu anayeishi Dar es salaam kupata taarifa zangu ni kama aliguswa sana na kuumia kuona Mimi mdogo wake pekee wa kiume kubangaiza kijijini. Akanipigia simu akaniomba tena kwa kunilazimisha kuwa mimi kama mdogo wake ni vyema niende Dar es salaam kutuliza akili na pia atanipatia connection ya kupata chochote kitu kuliko kubaki kijijini kishingo upande nikakubaliana na ombi la dada na immediately nikauza bango langu nakukata tiketi kuelekea Dar es salaam.

Nikafika vizuri Dar es salaam nikamkuta dada na mume wake pamoja na Mtoto wao anayesoma form four kabla ya kufanya chochote nilipewa maji ya kuoga nikaoga nilipomaliza dada akanipa lotion yake pamoja na nguo za shemeji nivae nikakaribishwa chakula nilipomaliza kula nikaonyeshwa chumba nikapumzika.

Siku iliyofuata nikakaa na dada na kumueleza yote niliyopitia mpaka kufika pale kwake alisikitika na akaniambia nijisikie nipo nyumbani ataongea na shemeji niwe naenda naye kazini kwake kumsaidia Kwa sababu nikikaa nyumbani nitaona muda hauendi kweli nikaanza kwenda kazini Kwa shemeji.

Dada akawa ananipa nauli na Hela ya kula kusema ukweli within a short time nikaanza kupendeza na kunenepa dada akawa ananipa nguo za shemeji kiukweli zilikuwa zinanipendeza kuzidi hata shemeji mwenyewe kumbe Ile love anayoionyesha dada yangu kumbe shemeji hataki na Kuna siku alishawahi kuleta mjadala kuwa maisha ya mjini ni magumu kuliko kijijini kumbe lengo lake ni kutengeneza mazingira ya Mimi kurudi kijijini.

Sasa Jana nimeumia sana Dada na mume wake wananiambia nirudi kijijini kiukweli hili swala limeniumiza Toka Jana sijala zaidi ya kunywa juisi Kila nikijaribu kutafuta logic ya Mimi kurudi Namtumbo sioni.

Kama walikuwa hawapo tayari kunisaidia Kwa Nini waliniambia nije mjini wakati nilikuwa nishaanzisha business yangu kitu kilichopelekea Mimi kutumia mtaji wangu kwenye nauli.

Hapo awali nimepandisha Uzi wa kuwa wiki ijayo naenda kutrend Tanzania nzima atakayethubutu kuniamsha jtatu saa kumi na Moja nikapande bus Magufuli Terminal trust me ndio huyohuyo atakaenifanya nitrend Tanzania nzima alaaaa.

Nasema Round hii tutakanyagana.
Wakikupa nauli kula. Wakikukatikia tiketi ichane mbele yao. Hapo usiondoke mpaka umepata kazi ya maana. Waache ujinga wanadhani wewe utaishi vipi Namtumbo?
 
Shemeji mwenyewe kapigwa tafu na dada alikuwa choka mbaya saa hivi kapata kakitambi anaanza kunikazia na chanzo kikubwa ni Mimi kuanza kushine na kusifiwa na wateja wake
Mm namashaka unaishi vp namtoto wadada yako,nahiz kujambo tu hapo haingii kalin dada huyo aliekutoa kijijin nandio huyo aliemsaidia shemej yako hadi kitambi kinamtoka leo hii akubal ww kurudi shamba kiurain tu
 
Back
Top Bottom