miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,802
- 49,109
hii story tumeshaijadili no comment
Wadau Mm nina Jamaa Yangu Mmoja Tunaheshimiana sana na Zidi Ya Rafiki.tunatembeleana na ana mke na mkewe namheshimu sana, na huyo mke wa jamaa cku zote kwa muonekano anaonekana ana heshima sana. Sasa Juzi kati nilikuwa Bar moja yenye guest House hapohapo. Sasa nikashangaa kuona Mke wa Jamaa yangu Huyo Shemeji yangu anatokea Vyumbani na jamaa ambaye sio mumewe. Na yule Shemeji akaniona. Walipotoa baada ya muda Shemeji Yangu alirudi na kunisihi nisimwambie Mumewe. Nikamkanya na kumuahidi Sitomwambia jamaa yaani mumewe. Lakini yule mwanamke akasema ili ajiridhishe kwamba sitomwambia mumewe basi na mm anipe mzigo nile hapo atakuwa na amani. Nikamkataliasasa shem ananiambia nispokubali kutembea nae atamwambia mumewe kuwa mm namtaka kimapenzi. Sasa je nifanyeje. Nimwambie jamaa au nimle?
Dah nikitaka kupiga miyayo humu ndani naandikaje.. Hakuna kikatuni chake... Maana dah full usingizi
Nakusalimia jirani yanguNahisi kuna mwaka stori hii, tumewahi kuijadili. Kwa coment yako ndo nikaona kumbukumbu yangu imerandana na yako!
Nakusalimia jirani yangu
niko vizuri jiraniMie mzima kabisa Jirani Mwema !! wajionaje khali?