Shemeji yangu amenigeuzi kibao, nifanyaje?

Shemeji yangu amenigeuzi kibao, nifanyaje?

Kurutamjanja

JF-Expert Member
Joined
Nov 21, 2013
Posts
396
Reaction score
377
Wadau Mimi nina jamaa yangu mmoja tunaheshimiana sana na ziada ya rafiki. Tunatembeleana na ana mke na mkewe namheshimu sana, na huyo mke wa jamaa siku zote kwa muonekano anaonekana ana heshima sana.

Sasa juzi kati nilikuwa bar moja yenye guest house hapohapo. Sasa nikashangaa kuona mke wa jamaa yangu huyo Shemeji yangu anatokea vyumbani na jamaa ambaye sio mumewe.

Na yule Shemeji akaniona. Walipotoa baada ya muda Shemeji yangu alirudi na kunisihi nisimwambie Mumewe. Nikamkanya na kumuahidi sitomwambia jamaa yaani mumewe.

Lakini yule mwanamke akasema ili ajiridhishe kwamba sitomwambia mumewe basi na mimi anipe mzigo nile hapo atakuwa na amani. Nikamkatalia sasa shem ananiambia nisipokubali kutembea nae atamwambia mumewe kuwa mimi namtaka kimapenzi.

Sasa je nifanyeje. Nimwambie jamaa au nimle?
 
Usikubali vitisho na kama anataka angekuja kwa staha. Hiyo ya kulazimishana itanoga kweli!Akimwaga ugali na wewe mwega mboga.
 
Nahisi kuna mwaka stori hii, tumewahi kuijadili. Kwa coment yako ndo nikaona kumbukumbu yangu imerandana na yako!

Na mwaka huu pia imejadiliwa..au labda inawakuta watu tofauti hii kitu.
 
Huu uzi ulikuepo humu aaaaagh kama huna cha kufanya kaa kimya tu
 
Dah nikitaka kupiga miyayo humu ndani naandikaje.. Hakuna kikatuni chake... Maana dah full usingizi
 
Back
Top Bottom