Shemeji yangu amenigeuzi kibao, nifanyaje?

Shemeji yangu amenigeuzi kibao, nifanyaje?

sijui demu anapata wap ujasir eti nile mzigo ili nijiridhishee haki ya mungu dunia imevaa kofia khaaa
 
Huyo mwanamke alikuwa hana heshima na wewe....alafu isitoshe ukila hapo alafu ukakuta akakupa ule Ugonjwa utafanyaje???ama amuambukizie mme wake itakuaje????kwanza usizubutu kummega....apite hivi na vitisho vyake vyakikumbavu na visivyo na kichwa wala mkia kamwe asikutishe.....mkuu be like a man...yaani mwambie mme wake huyo ni danguro....mkubwa
 
Mwambie amwambie huyo mumewe wewe huna wasiwasi uone kama hajaacha kukusumbua.
Ila story imefanana na ya yule aliyemkuta shemeji yake akiliwa kwa garden ilipostiwa last or this week nadhan
 
Wadau Mm nina Jamaa Yangu Mmoja Tunaheshimiana sana na Zidi Ya Rafiki.tunatembeleana na ana mke na mkewe namheshimu sana, na huyo mke wa jamaa cku zote kwa muonekano anaonekana ana heshima sana. Sasa Juzi kati nilikuwa Bar moja yenye guest House hapohapo. Sasa nikashangaa kuona Mke wa Jamaa yangu Huyo Shemeji yangu anatokea Vyumbani na jamaa ambaye sio mumewe. Na yule Shemeji akaniona. Walipotoa baada ya muda Shemeji Yangu alirudi na kunisihi nisimwambie Mumewe. Nikamkanya na kumuahidi Sitomwambia jamaa yaani mumewe. Lakini yule mwanamke akasema ili ajiridhishe kwamba sitomwambia mumewe basi na mm anipe mzigo nile hapo atakuwa na amani. Nikamkataliasasa shem ananiambia nispokubali kutembea nae atamwambia mumewe kuwa mm namtaka kimapenzi. Sasa je nifanyeje. Nimwambie jamaa au nimle?

Mwambie jamaa. Ukimla, ujiandae na kwako kuliwa, na utakuwa umeingia kwenye utumwa.
 
Kwa kuwa hujamla kweli bado. Mwambie aende kusema. Kuwa na amani, mke wa mtu sumu.
 
''Sasa je nifanyeje. Nimwambie jamaa au nimle? ''

Kwa nini umeweka option ya kumla?! Unahitaji ushauri kweli?
 
Back
Top Bottom