Herbalist Dr MziziMkavu
Platinum Member
- Feb 3, 2009
- 43,114
- 34,957
mwisho wa Shetani kwenda nae ni kitandani kazi kweli ipo shemeji unanitega ndio mwimbo wa siku hizi huoHahahahahaha lol!!!! Dr MziziMkavu shetani mnaenda naye wapi? 🙂
Bi dada anataka lakini kusema hawezi ndio amejibu kwa njia ya mafumbo. Waswahili wanasema fumbo mfumbie mjinga mjanja atalifumbuwa hilo fumbo.Huyu bidada nae bila kumjibu kwa ukali shemejie, anajibu kimzaha flani,atatafunwa kweli...
mwisho wa Shetani kwenda nae ni kitandani kazi kweli ipo shemeji unanitega ndio mwimbo wa siku hizi huo
Yaani serious watu wanatembea na shemegi zao?
Dunia hii loh
Unashangaa hiyo? Watu wanaduu na watoto wao
Mie ilinitokea sikufanya makosa.Huyu bidada nae bila kumjibu kwa ukali shemejie, anajibu kimzaha flani,atatafunwa kweli...
Shk. MziziMkavu mwezi mtukufu huu..................... astaghfrahmwisho wa Shetani kwenda nae ni kitandani kazi kweli ipo shemeji unanitega ndio mwimbo wa siku hizi huo