jerry joshy
JF-Expert Member
- Jul 8, 2015
- 402
- 504
kwa sasa ni goodbye forever hawez na haitatokea imagine mtu kisa dadaa ngu kahamishwa kikazi yy kawekewa mpaka wadada wawili wa kazi akaamua kuleta na mwanamke ndani mwingineUsimsemee dadako asije akawa amedata bado!
Never say never hasa katika haya mambo ya mapenzi.kwa sasa ni goodbye forever hawez na haitatokea imagine mtu kisa dadaa ngu kahamishwa kikazi yy kawekewa mpaka wadada wawili wa kazi akaamua kuleta na mwanamke ndani mwingine
Kuwa na akiba ya maneno. Huyo ni dada yako mengine hawezi kukwambia. We unaweza kuona ndo mwisho lakini wakarudiana. Tumeona mengi. Kwahiyo nakushauri uwe mpole we ni kaka mtu na vigumu kumsemea dadako. Dadako akisema haya unayosema angalau tunaweza kuamini ingawa napo.wengi baadae hubadilisha maamuzi. Haya mambo ya mahusiano yako complicated usiyachukulie kwa hasira. Ikitokea dada akarudi kwake we utaishiwa la kusema. Mkianza maneno anaweza.kukwambia unamgombea dada yako. Hivyo nafikiri hili jukumu muachie dada yako ndiye mtendwa.kwa sasa ni goodbye forever hawez na haitatokea imagine mtu kisa dadaa ngu kahamishwa kikazi yy kawekewa mpaka wadada wawili wa kazi akaamua kuleta na mwanamke ndani mwingine
hapana aisee kwa hili haitawezekana trust me yan mwaka mmoja kashakaa na mwanamke mwingine na ana mimba tayari while wa dada angu ana mwaka alafu bado tumsamehe?alikuja akasema hanaga wazazi alilelewaa kama mtoto dada angu hawezi tena kapata kai nzuri but hajatupunguzia kitu zaidi ni kuwa kampiga teke chura my sisy bado mzuri aiseeeeeNever say never hasa katika haya mambo ya mapenzi.
Unaweza chonga sana ukawa mstari wa mbele ukaja shangaa wao wanapatana haya mambo haya we acha tu...
We jamaa wewe kuwa na akiba ya maneno maana mapenzi ni kati yake na dada yako sasa naona mnayafanya kama ni kati yake na familia yenu.ha
hapana aisee kwa hili haitawezekana trust me yan mwaka mmoja kashakaa na mwanamke mwingine na ana mimba tayari while wa dada angu ana mwaka alafu bado tumsamehe?alikuja akasema hanaga wazazi alilelewaa kama mtoto dada angu hawezi tena kapata kai nzuri but hajatupunguzia kitu zaidi ni kuwa kampiga teke chura my sisy bado mzuri aiseeeee
aiseee ka aliyoyafanya mpaka kutukana wazazi wangu sio rahisi aiseee na dada angu haitakaa itokee tena ndo tushaamuaa nando anaanza kufuatiliaa talaka kanisaniKuwa na akiba ya maneno. Huyo ni dada yako mengine hawezi kukwambia. We unaweza kuona ndo mwisho lakini wakarudiana. Tumeona mengi. Kwahiyo nakushauri uwe mpole we ni kaka mtu na vigumu kumsemea dadako. Dadako akisema haya unayosema angalau tunaweza kuamini ingawa napo.wengi baadae hubadilisha maamuzi. Haya mambo ya mahusiano yako complicated usiyachukulie kwa hasira. Ikitokea dada akarudi kwake we utaishiwa la kusema. Mkianza maneno anaweza.kukwambia unamgombea dada yako. Hivyo nafikiri hili jukumu muachie dada yako ndiye mtendwa.
kwa hili ni la familiaaa sio lake na mkewe yaan alikuwa kama mtoto home na sio shemeji ilaamkapata kazi kaitukana saan familiaa while kosa lake mwanaume unashindwa kujizuiaa ndio basi kcheat ndo mpaka mimba jaman??We jamaa wewe kuwa na akiba ya maneno maana mapenzi ni kati yake na dada yako sasa naona mnayafanya kama ni kati yake na familia yenu.
Haya bwana. Kila la kheri.kwa hili ni la familiaaa sio lake na mkewe yaan alikuwa kama mtoto home na sio shemeji ilaamkapata kazi kaitukana saan familiaa while kosa lake mwanaume unashindwa kujizuiaa ndio basi kcheat ndo mpaka mimba jaman??
Mkuu nahisi wewe ni below 25, am I wrong?kwa hili ni la familiaaa sio lake na mkewe yaan alikuwa kama mtoto home na sio shemeji ilaamkapata kazi kaitukana saan familiaa while kosa lake mwanaume unashindwa kujizuiaa ndio basi kcheat ndo mpaka mimba jaman??
Mkuu nahisi wewe ni below 25, am I wrong?[/QUOT
Aisee kwahyo shemeji alikua analelewa na mama mkwe?
na familiaa yaan mama alikuwa anamlelea kuliko hata mimi jitu zima ovyoo