Jamaal kaenda kwa mke wa rafiki
yake;
JAMAA: Shemeji,nimekutamani
MKE: Hebu ondoka hapa, unafikiri
rafiki yako akisikia hayo mambo
atasemaje?
JAMAA: Kama nikikulipa shilingi
milioni 1 je?
MKE: Njoo kesho mchana wakati
jamaa yako yuko ofisini
... Kesho yake jamaa akaja na
milioni, akampa Shem, wakamaliza
biashara bila matatizo yoyote. Jioni
mume karudi;
MUME: Vipi salama hapa?
MKE :Salama.
MUME: Huyu rafiki yangu alileta
shilingi milioni moja hapa.
MKE: (Kwa mshangao na kusita)
Ndi- ndio
MUME: Huyu jamaa ndio
ninapompendea hapohapo, ni
mwaminifu sana, asubuhi kaja
kuazima milioni akanihakikishia
angekuja kuileta kabla siku
haijaisha!!!!
yake;
JAMAA: Shemeji,nimekutamani
MKE: Hebu ondoka hapa, unafikiri
rafiki yako akisikia hayo mambo
atasemaje?
JAMAA: Kama nikikulipa shilingi
milioni 1 je?
MKE: Njoo kesho mchana wakati
jamaa yako yuko ofisini
... Kesho yake jamaa akaja na
milioni, akampa Shem, wakamaliza
biashara bila matatizo yoyote. Jioni
mume karudi;
MUME: Vipi salama hapa?
MKE :Salama.
MUME: Huyu rafiki yangu alileta
shilingi milioni moja hapa.
MKE: (Kwa mshangao na kusita)
Ndi- ndio
MUME: Huyu jamaa ndio
ninapompendea hapohapo, ni
mwaminifu sana, asubuhi kaja
kuazima milioni akanihakikishia
angekuja kuileta kabla siku
haijaisha!!!!