Siku zote nilikuwa nayasikia tu ...leo nimelazimika kulikabili kwa maumivu na mshtuko!
Nimebahatika kuwa ni mtu ninaye aminika sana kwa watu ,mara nyingi watu huniambia mabo yao ya ndani kwa kutaka ushauri! Wakati mwingien huwa naona kuwa wananipa nisichostahili ki vile! Lakini ndivyo ilivyo!
Hili naandika humu nikiamini kuwa wahusika sio member wa hapa ,inawezekana mume huwa anaingia lakini siamini kama atajua kuwa anazungumzuiwa yeye kutokana na jinsi mkewe alivyo !
Ni hivi
Nina marafiki [mume na mke ] ambao tumeshibana sana[mimi na wife].Nwatu ambao kwa mtazamo wajuu huwezi amini kuwa wanaweza kuwa na mikwaruzano migumu ya kutushia uhai wa ndoa ! ni watu wenye hofu ya Mungu na wanaipenda dini....ni waaumin wazuri!
Leo shemeji amenipigia simu kuomba ruhusa ya kuja ofisini kwangu kwa mazungumzo, nilpata na hofu kidogo ila nilikubali!
Alikuja kunieleza /kuomba ushauri kuhusu tabia ya mume wake kutaka mapenzi kinyume cha maumbile! kama mnavyoitaga humu!
Anasema alianza tabia hii tangu Disemba mwaka jana! na ameendelea kusisitiza kuwa hajisikii kufanya kwa njaia ya kawaida!
Sasa mke amechanganyikiwa kuwa afanye nini na nampenda mume wake kwa dhati! Ameeleza jee akikata nini kitatokea akikubali ataharibu mwili wake na nafsi yake!
Lakini kwa maelezo yake inawezekana siku moja alimpa kwani alisema ni maumivu makubwa!
Pamoja na ujanja wangu wote wa kuwashauri watu leo nilikwama!
Nilichofanya ni kumwambia aendelee kumsihi mume wake kuwa hiyo ni DHAMBI,IMMORAL,HAJISIKII !
sina mwingien wa kushea naye zaidi ya jamii Forum!
Mke wangu sithubutu kumsimulia kwani atajisikia vibaya akimwona jamaa!
Alishauri nikaongee na mume wake nikwambia sitaweza kwani sijui atalipokeaje na hayo ni mabo ya ndani sana.
Jamani naomba ushauri wenu
Ila mh usione watu wanapendeza mitaani ...nyumba zimeficha Mengi!