Shemeji mbona unatuumiza?

The Infamous,
hebu imagine,mke hakuwa anavaa hivyo, ghafla kaanza kuvaa hivyo na anavaa chumbani si mume anamuona? Lakini anakaa kimya!

Kwenye gari mwanamke upaja unang'ara mume kimya!

Leo ndugu yako katoka alikotoka anaanza kukupa mtazamo wakekuhusu mkeo, ndo unamuona kuwa anaachia mapaja?

La hasha, kwa hiyo situation huyo mume anavutiwa, ila sema ndugu wanamidomo, tena usikute mume ndo anamwambia mkewe apige umini, .........ila inabidi awe mkali kuyokana na wapambe.....

Kumbuka kwenye ndoa humu kula mtu ana style yake, mwengine hataki kuona misketi mirefu mwengine anataka........ Wewe unaweza usiruhusu ila wenzio wakaona sawa hata mke akitembea na vi skin tight......

Ninachosemea ni swala la shemeji kujifanya msimamizi na mke wa mwenzake, kuleta sheria zake kwa mke wa mwenzake wakati hajui wakijifungia chumbani wanazungumza nini, atakuja kujenga uadui usiokua na maana........mwisho wa siku akumbuke huuo mke ana power kubwa kwa nduguye...

Awe makini asigeuziwe vibao akaja kujuta baadae

Sijajifanya kuwa msimamizi. Laiti ungejua namna mimi, mke wangu na watoto tunavyo muheshimu usingelisema hilo. Ndiyo maana sikutaka kujificha nyuma ya pazia, nilimwambia "baba mdogo" aseme ni mimi nimesema. Kiukweli wao ndiyo wana nguvu juu yetu kuliko unavyodhani.

Simhesabu shemeji, ni zaidi ya shemeji; twamuona ni ndugu yetu, mama yetu. Kiumri kanizidi na heshima pia.
 
Last edited by a moderator:
mwacheni avae kwani ndio kumegwa huko anayejifunga mabaibui na Ninja mbona ndo tunaowapitia?
Hujasema anafanya kazi wapi km ni Air Hostess? shurti ivuke goti juu 2"
Kama ni Receiptionist mahotelini km FIVE ***** ivuke pia 1"
kama ni Bar maid wa hizi bar za Night Club na yenyewe ivuke magoti
kwani hao wote hawana waume?
Nina wasiwasi huyo mama ana miguu Chupa ya Bia na magoti hadi mapaja yanalipa ndio maana mume kayapenda
 
Sijajifanya kuwa msimamizi. Laiti ungejua namna mimi, mke wangu na watoto tunavyo muheshimu usingelisema hilo. Ndiyo maana sikutaka kujificha nyuma ya pazia, nilimwambia "baba mdogo" aseme ni mimi nimesema. Kiukweli wao ndiyo wana nguvu juu yetu kuliko unavyodhani.

Simhesabu shemeji, ni zaidi ya shemeji; twamuona ni ndugu yetu, mama yetu. Kiumri kanizidi na heshima pia.

ndugu yangu, umekwisha toa ushauri kwa ndugu yako inatosha kaa kando mume na mke wasolve wenyewe....

Ndoa za watu ziacheni tu jamani ohooooooooooooooo..... Mie nimeishia hapo.... Sasa kasusa gari endeleeni kumwandama asuse na nyumba kabisa kama hujageukwa.......

Ubinadamu kazi kaka......

Mambo ya wanandoa waachie wanandoa wenyewe
 
Kaka, nafikiri uliponisoma hapo juu kuna kitu kilikughadhibisha hata hukua na muda wa kutosha kuelewa nini kilichopo ama kilichotukia. Matokeo yake umekuja na mashambulizi mfululuzo. Ni kweli yako mambo uko sahihi kama la kutokuingilia ndoa ya watu. Lakini hufahamu ni kwa kiasi gani haupo sahihi kutokana na ukweli kuwa mimi nimeandika machache kati ya mengi ninayojua ama tuliyoongea.


sina ghadhabu mkurugenzi, nimetoa tu mawazo yangu.....

Na si lazima uyafuate....

Kusuka au kunyoa ni uamuzi wako......

Lakini tulio kwenye ndoa miaka kadhaa na kushuhudia ndoa kadhaa zikipanda na kushuka na kuona mambo ya ndugu kwenye ndoa na kuombwa kushauri ndoa za watu tunajua yaliyoko ndoani.....

Again take it or leave it.........

Pole kwa kukwazika......

Byebye
 
Pili pili ya shamba...
I wish mimi ndo ningekuwa huyo mdada...shemeji yako; na undugu na mume wangu ungekwisha

Hivi watu mtajifunza lini kutokuingilia ndoa za watu????

Inakuwaje mnaleta vijisheria vyenu kwenye imaya za watu???
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom