Shemeji mbona unatuumiza?

wenzake kwenye mikoba yetu ya ofisini huwa tunakuwa na kanga, au siku hizi mitandio ambayo unaweza jifunga kama kanga ukipata "ajali". kama ni lazima sana kupanda hiyo pikipiki, au akikaa mbele za watu basi awe anajifunga kanga/mtandio. labda kama anapenda kuonyesha hayo mapaja.................. si unasema yanalipa? labda mwenzenu yupo kwenye matangazo
 
chezea paja. . . Lainii teketeke
 
Na huo ndo ulikuwa mtazamo wangu!
Enzi za uchumba ilikuwaje? hakuwa akivaa hivyo? na wewe huyo shemeji yako umemzoea sana..ushamfanya dada aako ebu muheshimuni bana..wewe na kaka yako!!!!!!!!!!!! shabash....eti mkamuweka kikao..we ukiwa kama nani!??

'shemeji mwenye uchungu na mke wa kaka yake'
shabaaaaaaaaash mwache achezee nguvu ya penzi..... Ipo siku atajuta.....
 
nyie ndo mnaovunjaga ndoa za watu......

Na huyo kaka yako mnafiki, kipindi chote hakujua nguo anazopenda mwenza wake mpaka wakaja kuoana?

Akishavaa nguo chini ya goti mtamwambia nywele zinatamanisha.......

Mwisho mtamwambia chakula hakinogi aache kazi apike jamani...................

Hakuyaona haya kabla hajamuoa?
Kubadili mitindo ya mavazi wangeanzana wenyewe hukoooooo ila kwa sasa unajenga chuki tu hapo kati yako na shem wako......... Ipo siku utakuja na thread hapa

Nakubaliana na wewe, hawa ni vizabizabina tu kazi yao kuharibu ndoa za wenzao, ya nini kumfuatilia mke wa mwenzio mpaka eti unaenda kumwambia baba mdogo!!!

Wee angalia ya mke wako ndiye anayekuhusu mke wa mwenzako muachie mwenyewe siku mwenye mke akiona mke wake anamkera basi atachukua hatua zinazostahili- kwa wewe kujiweka kimbelembele unahatarisha mahusiano yako na huyo baba mdogo pamoja na mama mdogo
 
nyie ndo mnaovunjaga ndoa za watu......

Na huyo kaka yako mnafiki, kipindi chote hakujua nguo anazopenda mwenza wake mpaka wakaja kuoana?

Akishavaa nguo chini ya goti mtamwambia nywele zinatamanisha.......

Mwisho mtamwambia chakula hakinogi aache kazi apike jamani...................

Hakuyaona haya kabla hajamuoa?
Kubadili mitindo ya mavazi wangeanzana wenyewe hukoooooo ila kwa sasa unajenga chuki tu hapo kati yako na shem wako......... Ipo siku utakuja na thread hapa

Ndugu, naomba urudie kusoma upya. Nimesema alianza mwaka jana kununua na kuvaa nguo hizo.

Ukiw na tabia ya kuvunja ndoa za watu, unaweza kufanya kama unavyofikiri.

Pia nakuomba ufahamu kuwa suala hili tunalichukulia not as a very delicate but also a fragile issue.
 
Kwa kweli kwa tamaduni za Kiafrika na zaidi za Kitanzania haipendezi Mke wa mtu avae nguo zinazomdhalilisha yeye na Mumewe au mpaka semeji zake. Mke wa mtu halafu unatuonyesha nguo za ndani anazopaswa kuziona Mumeo tu? Siku nyingine atatuonyesha hadi kule walikokataza. Na hao vijana wa Bodaboda ajiangalie sana wasije siku moja wakamgeuzia kibao kwa kuwatega
 
Mkuu hapo kuna kitu ambacho huenda kimejificha kati ya wanandoa hao wawili..(Kaka yako & mkewe)
pengine huenda kaka yako naye anapenda mkewe kuvaa hizo nguo fupi,ila we hujui hilo na ataki ujue hilo..
Maana ya kusema hili ni kwamba; kaka yako ni lazima anamuona mkewe pindi anapovaa chumbani,hivyo kujua kuwa hiyo nguo ya mkewe ni fupi hata asipopanda gari la family..Kwa nini asimzuie hadi wewe umsemee ndo ajidai
kuitisha kikao?
We hapo unajisumbua bure mwache ma'mdogo aendelee
kujiachia kama mumewe ye ajishughulishi na hilo.

Unaweza ukonekana kiherehere buure kwa mambo ya watu.. Achana nao hata kama anatafuta kidumu kwa hiyo style haikuhusu..mumewe ndo atahaibika mwisho wa siku.
 
katika nchi nyingine za Afrika kama Mozambique na Angola wanawake kuvaa sketi fupi sana, ni jambo la kawaida. Huku kwetu imekuwa taboo!!

Alimradi mwenyewe anajisikia poa.. haina tatizo!! kuna wanawake/wasichana wanavaa kama maninja hapa bongo lakini kila siku nguo zinafunuliwa vichochoroni.
 
akikua ataacha! Lakini naona kuna tatizo hapo, kwanini huyo mama mdogo amsikilize mumewe? Hamuheshimu? Au mumewe ni mpole kiasi kila anachomwambia anadharau. Na je, vp kwa mambo mengine akimwambia/akikatazwa huwa anatekeleza? Hizo nguo fupi ameanza kuvaa baaada au kabla ya ndoa?

hapo sasa, eti mama mdogo amezila kupanf=da gari la familia na ba mdogo analitelekeza. Some time force huleta kuheshimiana na kulindiana heshima.
 
Ndugu, naomba urudie kusoma upya. Nimesema alianza mwaka jana kununua na kuvaa nguo hizo.

Ukiw na tabia ya kuvunja ndoa za watu, unaweza kufanya kama unavyofikiri.

Pia nakuomba ufahamu kuwa suala hili tunalichukulia not as a very delicate but also a fragile issue.

unaposema 'tunalichukulia' wewe na nani mnaolichukulia?
Anapovaa mumewe si anamuona?
Kama anamuachia toka chumbani ujue anapenda mkewe avae hivyo.....
Huyo mke wa kaka yako ndo yao na maisha yao hayakuhusu..... Ingekuhusu pale tu kaka mtu angekuja kukuomba ushauri lakini sio wewe umshauri.....

Gari la familia, familia ya nani? Mlichanga kama familia kununua au ni gari la kaka yako ndo unaliita la familia? Kama ni hivyo ndo maana unadhani kuwa una mamlaka juu ya mapaja ya mke wa kaka yako.....
Unajuaje kama kaka yako anapenda kuona mapah!ja ya mkewe kwenye gari? Ila nyie 'familia' ndo mnaingilia privacy yao?

Kma unaishi kwa nduguyo nakushauri uondoke uende kujitafutia pako, uachane na mapaja ya shemejio......

Ndoa ina mambo mengi sana, sio kila jambo kaka yako akwambie, na kama mkewe kaanza kuvaa ghafla, unajuaje landa kaka yako kamwambia anapenda? Ila kwa vile 'ndugu' mnadhani mna mamlaka ya kutoa mawazo yenu inabidi afunike funike?

Unajua shemeji yako na mkewe wakiwa chumbani wanaongea nini?

Duniani watu hawatafuti uadui, epuka mifarakano isiyo na msingi...... Shemeji yako anaweza kukugeuzia kibao kwa ndugu yako wewe ukaonekana adui......

Ndo maana unaambiwa mambo ya ndoa waachie wanandoa wenyewe........... Mke anavaa anapanda kwenye gari mume wala hana habari hujui kuwa anapenda?

Shaurilo.....

Ukiambiwa umevunja ndoa ya watu ndo utakuja kuelewa kuwa ya ngoswe muachie ngoswe.....

Kumguka mke wa kaka yako, hakuhusu, unless umeshirikishwa, usijishirikishe..... SHaurilo
 
ila familia za kiafrica nazo zina mambo......
Unaolewa na mtu mmoja lakini ukoo mzima unadhani umekuoa.....
 
nyie ndo mnaovunjaga ndoa za watu......

Na huyo kaka yako mnafiki, kipindi chote hakujua nguo anazopenda mwenza wake mpaka wakaja kuoana?

Akishavaa nguo chini ya goti mtamwambia nywele zinatamanisha.......

Mwisho mtamwambia chakula hakinogi aache kazi apike jamani...................

Hakuyaona haya kabla hajamuoa?
Kubadili mitindo ya mavazi wangeanzana wenyewe hukoooooo ila kwa sasa unajenga chuki tu hapo kati yako na shem wako......... Ipo siku utakuja na thread hapa

kuna tofauti kati ya GF/BF na HUSBAND AND WIFE, mimi kwangu gf hata atembee na chupi hainipi shida she is just a gf na wala haniaibishi, ila when it comes to wife hapo ni himaya nyingine kabisa...huwezi vaa kiheshima baki nyumbani ulee watoto, unataka tembea na mimi lazima (shall) uvae kiheshima
 
kwani mumewe hana sauti kwa mkewe, kama habadiliki hyo inaonesha dharau ya hali ya juu!!!!!

Ni kweli twaweza kusema hivyo. Binafsi naona mapema kusema hiuyo. Ukweli ni kuwa ktk suala sensitive kama hili ukisema wewe unadharau hautakuwa unajenga bali unabomoa maana kuna uwezekano mkubwa akakaidi jambo lolote jema lenye kuhitaji mabadiliko huko siku za usoni. Nachelea kukubaliana na wewe ktk kipengere hicho.
 
talk to her in a positive way huku mkimshauri mavazi mbadala takayoyapenda.

Kama habadiliki endeleen kumpenda na kumjali huku mkimshauri kwa upendo.

I believe with time atabdailika. hawezi vaa vimin maisha yake yote.

Binadamu tuna evolve go to pick, decline and then die.

If u cant win her, leave her or join her.

Kwingine tuko pamoja mkuu lakini hapo kwenye bold HAPANA
 
kuna tofauti kati ya GF/BF na HUSBAND AND WIFE, mimi kwangu gf hata atembee na chupi hainipi shida she is just a gf na wala haniaibishi, ila when it comes to wife hapo ni himaya nyingine kabisa...huwezi vaa kiheshima baki nyumbani ulee watoto, unataka tembea na mimi lazima (shall) uvae kiheshima

The Infamous,
hebu imagine,mke hakuwa anavaa hivyo, ghafla kaanza kuvaa hivyo na anavaa chumbani si mume anamuona? Lakini anakaa kimya!

Kwenye gari mwanamke upaja unang'ara mume kimya!

Leo ndugu yako katoka alikotoka anaanza kukupa mtazamo wakekuhusu mkeo, ndo unamuona kuwa anaachia mapaja?

La hasha, kwa hiyo situation huyo mume anavutiwa, ila sema ndugu wanamidomo, tena usikute mume ndo anamwambia mkewe apige umini, .........ila inabidi awe mkali kuyokana na wapambe.....

Kumbuka kwenye ndoa humu kula mtu ana style yake, mwengine hataki kuona misketi mirefu mwengine anataka........ Wewe unaweza usiruhusu ila wenzio wakaona sawa hata mke akitembea na vi skin tight......

Ninachosemea ni swala la shemeji kujifanya msimamizi na mke wa mwenzake, kuleta sheria zake kwa mke wa mwenzake wakati hajui wakijifungia chumbani wanazungumza nini, atakuja kujenga uadui usiokua na maana........mwisho wa siku akumbuke huuo mke ana power kubwa kwa nduguye...

Awe makini asigeuziwe vibao akaja kujuta baadae
 
Last edited by a moderator:
ila familia za kiafrica nazo zina mambo......
Unaolewa na mtu mmoja lakini ukoo mzima unadhani umekuoa.....

Kaka, nafikiri uliponisoma hapo juu kuna kitu kilikughadhibisha hata hukua na muda wa kutosha kuelewa nini kilichopo ama kilichotukia. Matokeo yake umekuja na mashambulizi mfululuzo. Ni kweli yako mambo uko sahihi kama la kutokuingilia ndoa ya watu. Lakini hufahamu ni kwa kiasi gani haupo sahihi kutokana na ukweli kuwa mimi nimeandika machache kati ya mengi ninayojua ama tuliyoongea.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom