Shemeji kakubali nifanye nitakalo

Shemeji kakubali nifanye nitakalo

Na hili unahitaji ushauri bro? Ulilaimishwa kuoa?

Jaribu pia kuwaza wife naye anampa ofa mwanaume mwingine wa miraba minne...

NB: Jambo usilotaka kufanyiwa usiwafanyie wengine. (Do unto others what you would have them do unto you)

Mkuu umemaliza, mjadala ufungwe.
 
Kama unamuheshimu mwanao Achana kabisa na huo mpango yaani huo ni upuuuzi mkubwa sana....awaaah samahani maneno makali ila hatuchovyagi alikochovya rafiki
 
Asionekane mbaya

Huyo jamaa anawachora......halafu jibu alilompa ni kawadharau sema hajajua tu!!!!!!
"Nyie malizaneni wenye,kama ofa ya kampan we chukua mie sina muda nae"......kwa kifup hatak taarifa zao!!!!!
 
kaka acha Ujinga we c unamke mbona unakua Bachelor tachie siye tusiokuwa na wake tumgegede, we tulia na Mkeo au tumwambie mkeo?
 
Kuna watu mna akili za kushikiliwa!!! Ungekuw karibu ningekupa bonge la bao nikuzibue akili yako!!!
  • Atakua kaelewa, maana vitu vingine wala si vya kuuliza.
  • Inawezekana huyu kakua mwili, lakini kiakili bado hajakomaa.
 
kwani wewe umejishauri ufanyaje? hebu tujuze
 
Ushemeji hauishi ndugu, Huyo ni Shemeki yako Tuuuuuu

Acha uasherati, tunza na kuheshimu ndoa yako
 
Mkuu wewe ni mtu wa ajabu sana,mambo uliongea na huyu shemeji yako kwanini ulimwambia ex wake?inaonekama unaakili kama za mtoto mdogo!
 
ukigonga tu , jamaa yako ataona wewe ndie ulisababisha kuachana, chunga tamaa yako
 
Back
Top Bottom