Tony Laurent
JF-Expert Member
- Jan 5, 2011
- 6,391
- 8,294
Sawa. Naheshimu uamuzi wako. Lakini Kumbuka kuwa; Wakati mwingine fursa huwa hazijirudii. Ikija ukaipotezea, inakuwa imetoka hiyo.Asante sana mkuu, barikiwa kwa moyo wako wa kutaka kuniungisha, samahani sitaweza kukupa location sihitaji kujulikana na yeyote.
Naomba dona😊Alikuwa anakujaribu tu...
Wanaume ni ombaomba wasiojijua linapokuja suala la chini.
Asante 🤩🙏Sawa. Naheshimu uamuzi wako. Lakini Kumbuka kuwa; Wakati mwingine fursa huwa hazijirudii. Ikija ukaipotezea, inakuwa imetoka hiyo.
Hata hivyo nakutakiwa kila lenye heri na baraka kwenye biashara/kazi yako.
Kweli unaonekana una nia ya dhati, jambo la kusikitisha ni kwamba sina rafiki wala ndugu wa kike, nipo mimi kama mimi tu, ndiyo maana nashauri uandike uzi uweke na vigezo unavyohitaji uweke na sifa zako atakayevutiwa aje muyajengeSijasema kwa ubaya ila inawezekana katika pita pita yako na pia marafiki au ndugu na jamaa ulionao katika cycle ukaona mmoja au wawili wana uhitaji wa kweli wa kuwa na mume na wapo ready na ukaona huyu hata ningekuwa na kaka yangu ningemshauri aoe huyu mwanamke, naamini sometimes katika jamii yapo haya mambo.
kama wapo au umemuona mwananmke wa hivyo sio mbaya ukanifanyia ukristo kwa nia njema tu ya kudumisha uhusiano mwema na kutuunganisha tuwe mwili mmoja maana nia ni njema kabisa
Inshort siyo mtoajiLies
Sitaki siyo nidhamu kutembea na shemeji"maana rafiki yangu akijua tu nilikuwa nachat na mtu wake atakasirika mno maana ana wivu balaa"
je asipojua?
asingekuwa ana wivu?
kubali uokote 😆
shikilia hapohapo,, ongeza vina 😆Sijasema kwa ubaya ila inawezekana katika pita pita yako na pia marafiki au ndugu na jamaa ulionao katika cycle ukaona mmoja au wawili wana uhitaji wa kweli wa kuwa na mume na wapo ready na ukaona huyu hata ningekuwa na kaka yangu ningemshauri aoe huyu mwanamke, naamini sometimes katika jamii yapo haya mambo.
kama wapo au umemuona mwananmke wa hivyo sio mbaya ukanifanyia ukristo kwa nia njema tu ya kudumisha uhusiano mwema na kutuunganisha tuwe mwili mmoja maana nia ni njema kabisa
Absolutely 100%. Sio heshima hata kidogo lakini pia itamfanya akudharau, anavyokuchukulia sasa na hapo baadae ukimpa itakuwa tofauti and likely akakuuzia kesi kwa rafiki yake kuwa ulikuwa unamtaka kimapenzi muda mrefu.Sitaki siyo nidhamu kutembea na shemeji
Safi sana, si zimepangiliwa vizuri?😇😇Hapana mimi nina minyama😢😢😁
Kawaida tu mkuu 😁😁Safi sana, si zimepangiliwa vizuri?😇😇
"Love defies reason" suggests that love is a powerful, often inexplicable emotion that transcends logic and rational thought, meaning it's felt deeply and unconditionally, not just based on observable qualities or reasons". samahani sina lugha rahisi ya kujibu uzi wako lakini angalao unaweza pata jibu kwa hiyo para ya ngeli, wengi inatutokea mpaka romantically unampenda rafiki/shoga wa beloved wife kuliko wife mwenyewe😀Habari za muda mrefu wana jukwaa. Iko hivi nina rafiki yangu yeye ana mtoto mmoja yaani single mum, sasa ana mwanaume wake. Huyo mwanaume wake kipindi wanaanza mahusiano hata mimi nilikuwa nawaona mpaka sasa wamefikia kama miaka kadhaa ya mahusiano yao.
Huyu mwanaume siyo baba wa mtoto wake, sasa huyu shemeji kuna siku moja alichukua namba yangu nikiwa pale kwa rafiki yangu, yeye rafiki yangu alikuwa jikoni anapika, mimi nilijua kachukua kwa nia nzuri tu awe anakuja ofisini labda kuniungisha.
Sasa tulikuwa tunawasiliana akawa ananiita mke mdogo, mara ananiambia nimzalie mimi namwambia siwezi kufanya hivyo wewe ni shemeji yangu nakuheshimu, anasema kwani kuna ubaya. Mara kuna kipindi anakuja ofisini ananiambia wameachana na rafiki yangu mara warudiane.
Huyu shemeji nimemuona ni mtu wa ajabu sana kwa kitendo cha kunitaka kimapenzi kwani huko kote hajaona wanawake hadi aje kwangu, kwa rafiki wa mtu wake, wanaume hamna haya kabisa.
Mimi sijawahi kumwambia rafiki yangu na nimekata mazoea nao wote wawili, maana rafiki yangu akijua tu nilikuwa nachat na mtu wake atakasirika mno maana ana wivu balaa.
Cc. holoholo
Nomadix
Sawa Mkuu, Japo ningethibitisha kwa macho.Kawaida tu mkuu 😁😁
Shemeji anakutaka?Imefanyaje mkuu
Umeeleweka kijanaFor my own experience mwanamke akiwa anakataa jambo fulani huwa ni kinyume chake tu.
Mpe tu kama ulivyompa namba ya simu.Sikujua kama ana nia mbaya jamani
Hapana siwezi kufanya hivyoMpe tu kama ulivyompa namba ya simu.
Siwezi kwani kila siku anakulaga wapiShemeji anakutaka?
Mpe tu au vipi