Shemeji ananipa mitihani

Shemeji ananipa mitihani

Wazo zuri japo huyo Mumewe asije kufungwa kama yule Mwanaume wa Morogoro alivyojichukulia sheria mkononi ya kumlawiti mgoni wake akaadhibiwa kuchezea kifungo cha miaka 15 jela.
kama ni mke wa mtu tembea na kilainishi mkuu..
 
Hujasema mlipeana vipi namba za simu na kulikuwa na ulazima gani wa kufanya hivyo?
kuna kipindi alipata harusi ya mdogo wake sasa kutokana na umbali na kutokuwa na simu ya whatsapp yeye akaniomba zile sare za harusi yaan kitambaa mdogo wake atume kwenye simu yangu ili ashone.. hapo ndipo alipoidaka namba yangu...!
 
Huna maamuzi ya kiume?umesahau huyo ni mke wa mtu?unataka tukufundishe ufanyaje?
Kwani we ni wa dar?
Samahani lakini
kuna maamuzi mengine badala ya kujenga unajikuta unaharibu... kumbuka ni wapangaji wenzangu kujifanya chizi wakati mwingine inakula kwangu..!
 
Nafasi nzuri sana hiyo ya kumla 0713 .. huyo bidada. Ila msela we wawapi Dar umekuja karibuni au
Mana kwa vidume vya dar havichelewagi kabisa kwenye nafasi kama hizo
 
Back
Top Bottom