Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 29,332
- 93,988
Wanaume wengi humu JF kila nyuzi zenu siku izi ni kua "" mke wa mtu ananitongoza"
Lkn kiuhalisia ni wewe mwenyewe, uloomba namba za huyo demu, tena nahisi ulizuomba bila mumewe kujua.
Tena naamin 100% mnawasiliana bila mumewe kujua.
Na kwasababu ya Usiri huo ndio unaofanya akujibu sawasawa na unavyomchatisha.
Ushauri.... Siku izi, mume na mke wote wanatumia ARVs !!
Penda wepesi!!