Shemeji ananipa mitihani

Shemeji ananipa mitihani

Wanaume wengi humu JF kila nyuzi zenu siku izi ni kua "" mke wa mtu ananitongoza"

Lkn kiuhalisia ni wewe mwenyewe, uloomba namba za huyo demu, tena nahisi ulizuomba bila mumewe kujua.

Tena naamin 100% mnawasiliana bila mumewe kujua.

Na kwasababu ya Usiri huo ndio unaofanya akujibu sawasawa na unavyomchatisha.


Ushauri.... Siku izi, mume na mke wote wanatumia ARVs !!


Penda wepesi!!
Acha mazoea na mke wa mtu Mkuu,inaonyesha unamchekea chekea ndo maana anakuzoea
 
habari wana MMU nina imani ni wazima wa afya..
katika siku za karibuni nilihama mkoa fulani kikazi.. kama ilivyo kawaida nilitafuta chumba nikapanga na kiustaarabu kuishi vizuri na majirani zangu.. sasa kuna mpangaji mmoja yeye huwa anamnyanyasa sana mke wake kwa kumuumiza kimapenzi.. ana uwezo akawa na mke wake barabarani ila akamsubirisha njiani atongoze demu mwingine mbele yake.. sasa hv karibuni nimeanza kuona visa vya shemeji (mke wa huyo jamaa) anatuma sms ambazo zina walakini ndani yake.. kama kuuliza vp leo hujamwaga ulivyoamka.. au jana ulivyooga ulisugua gegedo vizuri na mengine mengi makubwa makubwa.. nipeni ushauri mimi nimepata wazo la kuhama ila sina uhakika kama wazo langu lipo sahihi sana hebu nipeni mawazo ndugu zangu...
kuna mengi nimeongea tu kwa ufupi nisiwachoshe..!

We mkuu niPM namba yake ya simu mkuu huko kwingine kulikobaki niachie mm
Ila mke wa mtu sumu mjuwe....
 
habari wana MMU nina imani ni wazima wa afya..
katika siku za karibuni nilihama mkoa fulani kikazi.. kama ilivyo kawaida nilitafuta chumba nikapanga na kiustaarabu kuishi vizuri na majirani zangu.. sasa kuna mpangaji mmoja yeye huwa anamnyanyasa sana mke wake kwa kumuumiza kimapenzi.. ana uwezo akawa na mke wake barabarani ila akamsubirisha njiani atongoze demu mwingine mbele yake.. sasa hv karibuni nimeanza kuona visa vya shemeji (mke wa huyo jamaa) anatuma sms ambazo zina walakini ndani yake.. kama kuuliza vp leo hujamwaga ulivyoamka.. au jana ulivyooga ulisugua gegedo vizuri na mengine mengi makubwa makubwa.. nipeni ushauri mimi nimepata wazo la kuhama ila sina uhakika kama wazo langu lipo sahihi sana hebu nipeni mawazo ndugu zangu...
kuna mengi nimeongea tu kwa ufupi nisiwachoshe..!

THE END
 
Back
Top Bottom