Shemeji ananipa mitihani

Shemeji ananipa mitihani

Mbona unakua mchoyo kiasi hiko unakosa hata utu wakumsaidia jirani yako? Unamuona jinsi mwenzio anavoteseka kwa mumewe hata kumliwza unashindwa?

Gegegeda mkuu umpunguze majonzi
kumliwaza mke wa mtu mkuu..!!!!
 
Umepewa ushauri wa kumblock umeufumbia macho sasa sijui unataka nini.
 
Huna maamuzi ya kiume?umesahau huyo ni mke wa mtu?unataka tukufundishe ufanyaje?
Kwani we ni wa dar?
Samahani lakini
sio la kitoto hili mkuu... mke wa mtu kucheka nae sipendagi kabisa ila mazoea yake na ya mume wake kwangu ndio yameharibu.. wamenizoea sana...!
 
Kaza kabisa yy mwenyewe ataghaili ucjibu hizo msg zake usihame maana shughul ya kuhama si ndogo gharama nying uwanze upya pesa ya dalali mara usafili yaan ni usumbufu, kubadili namba usibadili Kuna watu wa muhimu utawapoteza kwa sababu za kimama
Amblock tu maana si kila Mwanaume ana kifua cha kukataa Mwanamke ikiwa atakuwa kashaongozwa kihisia na kichwa cha chini.
 
Mbona unakua mchoyo kiasi hiko unakosa hata utu wakumsaidia jirani yako? Unamuona jinsi mwenzio anavoteseka kwa mumewe hata kumliwza unashindwa?

Gegegeda mkuu umpunguze majonzi
TZ ya vi-woder.

Magufuli kaza tu Baba kama akili zenyewe ndizo hizi za kubariki dhambi ni laana kabisa hii.
 
Back
Top Bottom