Mama huo ndio ukomavu wa kisiasa na usomi,utapita 2015,maana wabunge hao wanaohangaika kuwajibu wapinzani,kweli hawaelewi maana ya upinzani,maana umeongea dakika kumi tu,na umekuna taifa zima,kwa maneno ya kujenga nchi,we ni mzalendo,endelea hivyo mama achana na hao wanaoshinda kujibu upinzani na kupiga makofi,machozi ya watanzania watayalipa siku moja kwa unafiki na uovu wanaoufanya.