Mwanajamii
JF-Expert Member
- Mar 5, 2008
- 7,063
- 71
Inadaiwa kuwa Beatrice Shellukindo aka Jairo mbunge wa kilindi anaongoza uasi ndani ya wabunge wenzake wa CCM ili kuikomoa serikali kwa kuwa amenyimwa uwaziri.Shellukindo alikuwa na matarajio makubwa sana kupata uwaziri,alipoona ameukosa ameamua kula sahani moja na wale waliopo madarakani.
washirika wake ni ole sendeka,Ane kilango,mwakyembe na Sitta.
My take.hii ni chuki na hila ya kutaka wakose wote.
POLEHuyu mama mbona kigeugeu!!mifano ya kigeugeu chake ni kama ifuatavyo,mwanzo alikuwa anampinga lowasa,mara akatangaza rasmi kuwa yupo kambi ya lowasa,akaibua suala la jairo lakini lilipoletwa bungeni akaanza kutetea tena,sasa ameanza na singo ya kikwete apigiwe kura ya kutokuwa na imani naye,na anaendeleza uasi dhidi ya serikali,kisa posho!!siku akiwekwa kati ajieleze ataanza kutafuta mlango wa kutokea!!nec ya tarehe 12 tunaomba ajieleze kama anao ubavu wa kujisimamia,na wanaomuunga mkono nashindwa kuelewa uwezo wao make mwisho wa siku watakosa maelezo.
POLE
Wewe ni nani kule NEC?
Has she changed side?Inadaiwa kuwa Beatrice Shellukindo aka Jairo mbunge wa kilindi anaongoza uasi ndani ya wabunge wenzake wa CCM ili kuikomoa serikali kwa kuwa amenyimwa uwaziri.Shellukindo alikuwa na matarajio makubwa sana kupata uwaziri.
washirika wake ni ole sendeka,Ane kilango,mwakyembe na Sitta.
My take.hii ni chuki na hila ya kutaka wakose wote.
Inadaiwa kuwa Beatrice Shellukindo aka Jairo mbunge wa kilindi anaongoza uasi ndani ya wabunge wenzake wa CCM ili kuikomoa serikali kwa kuwa amenyimwa uwaziri.Shellukindo alikuwa na matarajio makubwa sana kupata uwaziri,alipoona ameukosa ameamua kula sahani moja na wale waliopo madarakani.
washirika wake ni ole sendeka,Ane kilango,mwakyembe na Sitta.
My take.hii ni chuki na hila ya kutaka wakose wote.
POLE
Wewe ni nani kule NEC?
Kwa manufaa ya nani?Inadaiwa kuwa Beatrice Shellukindo aka Jairo mbunge wa kilindi anaongoza uasi ndani ya wabunge wenzake wa CCM ili kuikomoa serikali kwa kuwa amenyimwa uwaziri.Shellukindo alikuwa na matarajio makubwa sana kupata uwaziri,alipoona ameukosa ameamua kula sahani moja na wale waliopo madarakani.
washirika wake ni ole sendeka,Ane kilango,mwakyembe na Sitta.
My take.hii ni chuki na hila ya kutaka wakose wote.
mtu yeyote anaeiasi ccm kwa wakati huu kwangu ni shujaa,iwe kwa maslahi binafsi au whatever.
mungu akitaka kukusaidia anaweza kutumia hata jambazi ili mradi akutoe kwenye shida.
mama shelukindo kama upo huku jf ni pm nikupe nondoz,watanzania wamechoka kuongozwa na serikali bubu,kiziwi,kiwete na kipofu.
asante rm kwa kuleta huu uzi ili tumsapoti huyu ester mkombozi wa taifa la mungu.