Sheli na bela

Sheli na bela

amiride

JF-Expert Member
Joined
Aug 25, 2011
Posts
200
Reaction score
37
Mtoto kamkuta baba yake anasoma gazeti kwa kumshtukiza akamwambia baba baba SHELI INAUNGUWA.
Baba kwa kushtuka akamuuliza mtoto wake sheli gani?
Mtoto akaanza kukata viuno huku akiimba SHELI NA BELA.
Baba we ndo pambaf kabisa
 
Kweli haichekeshi
 
Back
Top Bottom