Dalton elijah
JF-Expert Member
- Jul 19, 2022
- 781
- 1,831
Katika eneo la elimu kumekuwa na utata mkubwa wa uelewa nchi yetu imekuwa ikihangaishwa sana na tatizo la maadili lakini iko nyuma sana kwenye mafunzo ya dini, tulikuwa tunasema sasa nchi yetu inataka maadili gani ambayo hayatokani na dini?"
"Lakini kupitia uongozi wako (Rais Samia Suluhu) hapa tunashuhudia katika mtaala mpya sasa masomo ya dini ni rasmi na sasa kazi imebaki kwa Watanzania kuandaa walimu bora wanaoweza kufundisha lugha ya kiarabu”
“Wanaoweza kufundisha maarifa ya kiislamu na pia watapata ajira ya Serikali kwa kufanya kazi hiyo hiyo ambayo kwa kipindi chote tulikuwa tukifanya waislamu bila ya msaada wowote hili ni jambo kubwa sana la kushuru"
"Mheshimiwa Rais umetupa faraja kubwa sana kutuwekea mazingira mazuri ya kuwafundisha vijana wetu na Watanzania kwa ujumla misingi mizuri ya imani na dini zao katika mfumo wa nchi unaotambulika tunaamini ukipata kipindi kingine tutapata makubwa zaidi”-Shekhe Mussa Kundecha akizungumza katika kongamano la amani katika ukumbi wa Diamond Jubilee, Dar es Salaam.