Shekhe Jongo analia bungeni sasa!!

Status
Not open for further replies.

intarahamwe mwenzao
 
Siku hizi hatuna muda Wa kuangalia bunge la ccm Kama ipo clip yake tuekeeni
 

Huu udini utaacha lini?
 
Yaani kwa mwendo huu UKAWA mtakuwa na kazi ngumu kulazimisha agenda zenu.
Kama viongozi wa dini wanalia kwa uchungu namna hii vipi sisi mamilioni ya waumini?

intarahamwe na wanao hawajui kuwa we binti ni kundi hilo.
 
Mi muislam ila kiukweli baadhi ya hawa jamaa zetu miyeyusho aseee!!!!!!

Shule za kiislamu hoi nyingi, hatuna hospitali wala projects kubwa ambazo sustainable , University ndio hiyooo!!!!!!

Haya yooote hayakumtoa machozi!!!!!!
 

Mwongo tu wakati analia nyuma yk kulikuwa na mbunge akionyesha kwamba hela ndio ilomfanya alie, ni njaa tu hana lolote
 
hakuwa hata na dalili ya chozi mnafiki mkubwa na mwigizaji namba moja.Bongo movies pangemfaa!!
 
Amemuiga Pinda!
Anasema amekosa usingizi siku tatu kuwaza jinsi Waasisi walivyotukana.

Ameanza kulia na kutoa machozii!!

Anasema kumtukana Karume na Nyerere ni sawa na kumtukana baba ake mzazi.

Mimi mwenyewe nimesikitishwa sana na kitendo cha utovu wa nidhamu cha Tundu Lissu. Ni kitendo kiovu cha kulaaniwa kwa nguvu zote!!
 

Wanaume wengine hi hasara kuanzia ngazi ya familia mpaka taifa!
 
Katika jambo lisilokuwa la kawaida shekhe hamidi jongo aliangua kilio kwa kukerwa na watu wanaowatukana viongozi na waasisi wa taifa yaani mwl nyerere na karume
source tbc1
Kweli njaa nouma. Hache njaa sheikh na unafki wake alishawahi kulia maskini wanavyokufa kwa kukosa chakula


Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
tundu lisu mama yako hata aseme uongo? mbona mwigulu alipo tukana hamkusema lolote! ccm mmepitwa na wakati
 
Labda analiliaa posho iongozekeeee Karume na Nyerere na baba zake umbeaa tu
 
Kulia mda mwengine ni unaffiki tu, yeye hajuwi kama nyerere ndo amesababisha hii mikanganyiko
 
Mimi mwenyewe nimesikitishwa sana na kitendo cha utovu wa nidhamu cha Tundu Lissu. Ni kitendo kiovu cha kulaaniwa kwa nguvu zote!!

Lia basi tukusikie!
Unaacha vya maana eti unadai umechulizwa.
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…