Shekhe Arusha Amwagiwa Tindikali

Shekhe Arusha Amwagiwa Tindikali

Status
Not open for further replies.
huyo atakuwa alikuwa anapinga uamsho!!! Na jana waliachiwa hivyo wanasheherekea!!! Ha ha ha!!! Halafu kuna mijitu eti inasema cdm na tindikali, falasi nyie. Cdm ni chama cha wapenda amani!!! Wewe wekeni green brigate na polism wenu pembeni uone kama cdm ikiwa peke yake inaleta fujo. Chama cha kuwakomboa watanzania hiki.

m4c m4c m4c
 
Nimeipenda sana post hii Mkuu!
Copy kwa Chabruma.

Asante sana mkuu, hawa watu ni kuwaambia tu ukweli bila chenga. Pia na cc kwa chama, msalani, ZeMarcopolo, Ritz, na wengine wa mrengo huo. Wakubali ukweli kuwa SSM imeshindwa, hali halisi inaonekana. Matabaka ya matajiri na maskini yanaongezeka tena the disparity ni almost kama mbingu na ardhi.
 
Kumbe wao kwa wao!!!wahusika anajulikana kwa mujibu wa Badiko Polisi fanyeni kazi yenu mkianzia hapo kwa huyo Mwezake kutoka Mwanza.
 
Hivi kunani huko ARUSHA? CHADEMA wanaipeleka wapi ARUSHA?

wee sio mzima, mambo ni ya shekhe na kisa kasema ... chadema inaingiaje hapo, acheni kutugawa kwa udin, uchama, ukanda n.k sisi ni watanzania (tanganyiaka na zanzibar)
 
Eh wameanza,naanza tena kama kawa kuvaa Helmet yangu every where i go.:rapture:
 
Fanya analysis ni acid gani hiyo maana obviously itakua nyingi kuweza kumwagia watu wawili, pima afu fuatilia maduka yanayouza tindikali karibu kujua ni nani alinunua hivi karibuni, kamata list afu peleleza kisirisiri kila moja alienda kuitumia wapi... Kamata raia hizo zisizo na moyo
 
Baba wa taifa Mwalimu Nyerere alisema, "Ukila nyama ya mtu huwezi kuishia hapo hapo tu, ni lazima utaendelea kula", akaongeza "mtu mbaguzi hawezi kuishia hapo, akishambagua mtu fulani hataishia hapo, atajikuta kumbe hata wale wanaomzunguka hawafanani naye". Nao ataendela kuwabagua tu..." Mwisho wa kunukuu

Tumeacha busara hizi za Mwalimu, tumeendekeza udini, sera za nani kachinja hazikuwepo enzi za Mwalimu. Leo ameondoka tumeanza kuibua fikra za kijinga jinga.

Sasa tunavuna tulichokipanda, wenyewe kwa wenyewe tunakulana nyama, tuliyemtenga anatuangalia kwa kutuhurumia...
 
Fanya analysis ni acid gani hiyo maana obviously itakua nyingi kuweza kumwagia watu wawili, pima afu fuatilia maduka yanayouza tindikali karibu kujua ni nani alinunua hivi karibuni, kamata list afu peleleza kisirisiri kila moja alienda kuitumia wapi... Kamata raia hizo zisizo na moyo
Mkuu hizo tindikali mbona zilikuwepo mashuleni na vyuoni toka zamani na hakukuwa na upuuzi kama huu?
 
Kuna wale masheick feki waliokamatwa na Bakwara juzijuzi Arusha wakichangisha michango kitapeli na wao wapelelezwe
 
Mkuu hizo tindikali mbona zilikuwepo mashuleni na vyuoni toka zamani na hakukuwa na upuuzi kama huu?
Kwa mtu anayeenda kufanya uhalifu kwenda kuichukua shuleeni ye naye atakua professional aisee, afu shule gani igawe tindikali ovyo kimya kimya...
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom