Sheikh Yahya: JK, Dk. Slaa kupatana...

mzee haya hayaa kaongoze mke mwingine!! naona unaelekea kubaya ss
 
Huyo naye aache upuuzi wake kwa kumtumia Mungu kupata riziki yake; bora afanye kazi nyingine. Hivi anafikiri ni wangapi wanaoamini mambo ya minajimu? We believe in the living God, and who already spoke to us and revealed His will in His Word, and not in some unajimu or something. Afanye kazi ya kujenga Taifa, huo ni uvivu na kula kwa kutumia ujanja. Anajua kuwa Dr. Slaa ni kiboko na iko siku Chadema itachukua mchi, hivyo analinda maslahi yake pande zote mbili!!!! No one is stupid enough to be fooled by some magical tricks/divination these days of science and technology.

Ha! ha! ha! Hivi ni mtu gani aliyeripotiwa kufa baada ya uchaguzi mkuu 2010? Maana huyu ndugu YAYAYA" anaye jiita SHEHE aliwahi kusema hivyo. Huo ni wenda wazimu mkubwa alionao.
 
Back
Top Bottom